Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazee, Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka takribani 15 ofisi za serikali zimeanza kukosa hata karatasi za kufanyia printing za barua na documents mbalimbali. Kuna mdau mmoja yupo wizara...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nchi imeyumba kila sekta. Watanzania hawana matumaini tena ya maisha yao. Idadi ya maskini inazidi kuongezeka kila kukicha. Zile mbwembwe za 'maisha bora kwa kila mtanzania' zimeyeyuka kama...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mi nafikiri kazi ya polisi wanapopata hizi taarifa ambazo wanaita za kiitelijinsia ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia mikutano kufanyika maana huku ni kurudishana nyuma kwakweli. Hawa polisi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 24th February 2011 @ 08:20 MTOTO wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi amepandishwa kizimbani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau za leo, katika kuhangaika nimebahatika kukusanya kiasi na sasa nataka na mimi nipumzike kutembea kwa miguu safari ndefu za mjini. Kwa ufupi nataka kununua mkoko. Nimetembelea website za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
AWALAUMU WATU WANAOPINGA MALIPO YA DOWANS, ATAKA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE Raymond Kaminyoge WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema haoni nia ya dhati kwa viongozi wa ngazi za juu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamii ya sasa inakabiliwa na changamoto nyingi,mtaongea mengi lakini....Amin nakuambieni,hakuna kitakachomsumbua mwanadamu wa leo kama tumbo lake".Asikudanganye mtu,tumbo lina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umeme wazidi kumkaanga Ngeleja Saturday, 05 November 2011 15:14 Waandishi Wetu Mwananchi UJUMBE wa Serikali ulioongozwa na Waziri wa Nishati na Madini...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Yanayojilia hoja za UK kupunguza mkopo tuliozoeshwa kuita msaada wa bajeti kwa Tanzania si ushoga, bali ni ubakaji wa demokrasia nchini. Viongozi waandamizi wa serikali wamekomalia kuongelea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poly=many tics=techniques. Tatizo hapo kwenye techniques
0 Reactions
1 Replies
2K Views
For the second time in two years WikiLeaks announced it was suspending publication of secret documents due to financial difficulties. The site has already failed to make good on months-old...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe is expecting to attend a meeting scheduled for November 20 in Nairobi, Kenya, to discuss how to help Kenyans and Somalis in the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dezidellius patrick amefungua kesi 79/2011 mahakama kuu dhidi ya askofu kakobe kwa kutumia katiba ya zamani ambayo imesha futwa. Katiba hiyo ilifutwa kufuatia wadhamini kufariki na...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wana JF, Juzi nilistuka sana kusikia Redioni tangazo la Mganga wa kienyeji llililokuwa linatoa taarifa kuwa tiba zifuatazo zinapatikana1. Kupanda cheo kazini 2. Kuvuta wateja( mvuto wa biashara)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mhe sitta ameamua kuelimisha umma 2ijui East africa plz msikose ili 2weza kuijadili vema.japo sijui msemaji wa wizara yuko wp? Mpaka waziri ameamua kusika mpini mwenyewe
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka kama mitatu huko nyuma Rais Mugabe aliwambia British (Tony Blair)kuwa wana Create United Gays Kingdom leo tunashuhudia maneno yake
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu , arusha as my reference point kwanza nianze kwa kupongeza harakati nazo ziona ndani ya mkoa huu wa arusha kwa kuonekana jinsi walivyo na muitiko chanya kwenye madiliko hasa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Daa mmesikia kutoka kwa Membe Mzee wa Kaya alikuwa analetewa balozi amkaribishe sasa akaona mume na mume sijui ni mume na mke lakini wote ni mashoga akasema "toba yarabi" nakuto wakubali mpaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa muda nimegundua yafuatayo. Kwamba maendeleo ya kweli kwa TZ yetu kamwe hayawezi kuja ndani ya utawala wa sasa wa CCM. Wengi tunajilinganisha na jirani zetu Rwanda, Kenya, Uganda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom