NAIBU Waziri Mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka Watanzania kuiombea Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na matatizo yaliyo mbele yake.
Alisema bila msaada wa nguvu za Mungu ni...
Habari za jioni wana jf, naomba mnijuze idadi na kama ikiwezekana mnitajie maraisi waliowahi kuiongoza uganda since uhuru na jina la raisi aliyewatafutia uhuru
Katika kuonyesha kuwa tz inapinga shingo upande juu ya agizo la London, Mwana mfalume na kidosho wake wamefika tz na leo watatembelea Kigamboni kufungua visima vya maji ambayo ni yetu lakini...
Wakuu,
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ni Mgonjwa zaidi ya mwaka sasa.
Toka Kipindi cha Kampeni alikuwa mgonjwa sana. Ni Takribani mwaka na mwezi toka uchaguzi 2010 upite.
Umekuwa ni...
Kitendo cha vyombo vya dola ambavyo ndio vyenye dhamana ya kulinda usalama na amani ktk nchi kuonekana vinatenda kazi kidhalimu,hv karibuni kulionesha kuto vumiliwa na mbunge wa Arusha mjini...
Miezi ya hivi karibuni, kampuni ya simu ya Tigo imelalamikiwa sana kutokana na tabia zao za kihuni. Wamekuwa wakiwaibia wananchi mchana kweupe, na shirika letu la TCRA kushindwa kuchukua hatua...
by HakiElimu on Tuesday, 01 November 2011 at 10:26 via Facebook Notes (https://www.facebook.com/hakielimu)
Did you know that in Mtwara Region, Tsh. 395 million was spent on rehabilitation of...
Ndugu wanajamvi,
Ansbert Ngurumo anasema kwamba katika baadhi ya maeneo nchini, CCM imegeuka tusi miongoni mwa vijana. Ukimuudhi mtu siku hizi, akakosa tusi la kistaarabu dhidi yako, atakwambia...
TCRA on spot over mobile call congestion
Saturday, 05 November 2011 23:18
By Songa wa Songa and Alawi Masare
The Citizen Reporters
Dar es Salaam.
Tanzania could be facing an...
niliwambia ntawaletea hali ilivyo dodoma bunge likianza kuhusu wenzake comeroon,dah kweli wameanza kutua sasa hv nmeona mmoja ametoka gest anaingia kazi
Wadau,
Kama mtakumbuka vizuri wakati wa kampeni na hata baaday ya uchaguzi kuna kitabu kilichapishwa nadhani na Prince Bagenda na nakala zake kuchapwa sana magazetini.Naam kitabu hiki kilitueleza...
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai.
kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe...
Toka jana mji wa tabora umekumbwa na uhaba wa petrol.vituo vya kuuzia bidhaa hii misururu ya pikipiki na magari ni mirefu. Kuna mtu ameninong'oneza kuwa, kuna uwezekano ni hujuma inayofanywa na...
Ni nani asiyejua kuwa mabishano yanohusu imani(dini) hata kama ni kijiweni kwa kawaida hayawi na hitimisho?
Niseme tu kwamba kama kuna kitu watawala wetu wamethubutu, wakaweza na sasa wanasonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.