Mnavuna msichopanda, chukueni hatua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnavuna msichopanda, chukueni hatua!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by J.K.Rayhope, Nov 5, 2011.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamii ya sasa inakabiliwa na changamoto nyingi,mtaongea mengi lakini....Amin nakuambieni,hakuna kitakachomsumbua mwanadamu wa leo kama tumbo lake".Asikudanganye mtu,tumbo lina gharama.Wanasiasa,Wasomi,Wezi,Majambazi,Mafisadi,Wanawake,Wanaume n.k wote tatizo hakuna uhakika wa kugonga menyu za uhakika.Hebu watu wawe na msosi wa kutosha,matibabu ya kutosha uone kama watakung'ong'a.
  USHAURI NA HATUA ZA KUCHUKUA
  Historia inaonesha kwamba tunapenda kula tusicholima,Enzi za Mwl.J.K.Nyerere tunakadiriwa tulikuwa milioni 16,sasa tuko 40,kwa mujibu wa utafiti,ekari zinazolimwa sasa zimeongezeka kidogo,hakuna uwiano wa msosi na watu,msosi mwingine wauzwa nje.Kilimo kwanza hakuna kitu,mara kilimo bora,mara ooh njaa imezidi(wakati ardhi yenye rutuba ipo)sasa kwanini kilo ya wali isifike 2200 pale Kariakoo.Mmelima?Limeni,au mwataka uzazi wa mpango kwenye mazao eti?mkulima hafilisiki.Naomba kuwasilisha.
   
 2. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chagua CDM 2015 shida zote hizo zitaisha!!!
   
Loading...