Kwa mwenendo huu sina budi kuhitimisha kuwa Kikwete ni RAHISI siyo RAIS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mwenendo huu sina budi kuhitimisha kuwa Kikwete ni RAHISI siyo RAIS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dumelambegu, Nov 4, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nchi imeyumba kila sekta.

  Watanzania hawana matumaini tena ya maisha yao. Idadi ya maskini inazidi kuongezeka kila kukicha. Zile mbwembwe za 'maisha bora kwa kila mtanzania' zimeyeyuka kama pande la barafu lililoachwa juani. Kwa mwenendo huu, kwa nini nisiungane na wanaharakati wanaosema kuwa tangu mwaka 2005 hadi sasa nchi yetu imekuwa ikiongozwa na RAHISI na siyo RAIS. Kama Rais tusubiri mwaka 2015.

  Huenda Mungu akasikia kilio chetu.
   
 2. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Poor economic analysis,rudi shuleni ndugu bado kabisa au ni QT product?.mnamhujumu kikwete kwa kutumiwa na mafisadi halafu mnasema kila kitu kimeharibika shwa..ni.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiye chizi kabisa. Huna hata haya kumtetea ombaomba, mzururaji asiyetulia nyumbani. Ni binadamu gani mwenye akili timamu anayeweza kumtetea kiwete? Kama unakula makombo ya mezani kwake basi usidhani kila mtu ndivyo alivyo. IQ yako siyo kwamba ipo chini tu bali ni negative.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  Alafu anaitwa Dr. Wapumbavu wenziwe akina Banseni Bana na Mkandara wanampa udaktari kana kwamba watanzania tunashindia Phd's na kulalia Phd's feki kama hizi za kuchonga namna hii...poor people poor Phd's poor magogoni,poor everthing,poor wives poor toilets poor he and she,poor generation poor poor poor media,nahisi naugua kipanda uso
   
 5. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,514
  Likes Received: 2,059
  Trophy Points: 280
  Huyo ni rahisi kweli..
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Na bado, 4 years still to go.
   
 7. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  duuuu!! Punguzen hasira naye kama kufulia kasha fulia tusubiri 2 aondoke ila MUSIFANYE TENA MAKOSA KWNY NEXT ELECTION
   
 8. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Upuuzi mtupu.
   
 9. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkiambiwa bangi mbaya mnajifanya hamnazo.
   
 10. HT

  HT JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa wewe, JK si ni rais, anashindwaje kushughulika na wahujumu? Au hajui kama yeye ni rais kulingana na katiba?
   
 11. M

  Moses msisia Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tutafika tu ngoja shida ziendelee mpaka 2015 ikiwezekana watu walalie kahawa ndio watajua umuhimu wa kura zao
   
 12. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  simple minded
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh.! Eti banseni Banna. Hivi jina lake la kwanza huyu prof. Nani vile.!
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kwa akili yako, kati ya JK na hao mafisadi nani anatakiwa awe na madaraka zaidi ya mwingine? Kwa maneno mengine mafisadi ndo wamekuwa RAIS na JK Ni RAHISI. Kwa nini ulalamikie watu uliowazidi madaraka.? Hujui unalotetea...
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  badala ya kumwongelea aliyeanguka tayari, tuji-organise jinsi ya kuwatoa mafisadi nje 2015.
   
 16. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vuteni subra nyie kama mmeshindwa kutafuta ufumbuzi kuna mtu anaitwa simba mzee kaja kumaliza matatizo yote...muda si mrefu mtamsikia
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  wewe ndio matobolwa kweli......kwa akili yako kikwete nae ni RAisi au nembo tu? wacha kudanganywa watu na ndio maana sasa unaona masharti ya wanaomjazia bakuli lake wametoa sharti jipya....kama kweli anajali utu na ubinadamu angekataa misaada ya mwingereza lakini kwa kuwa hana utu ..yupo tu anang'aa sharubu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli sikio la kufa halisikii dawa kama bado kuna watu wanamtete kwa hili
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Matatizo yote hayo yanatokana na phd za kuletewa nyumbani si unaona matatizo yanayotekana na hizi leseni za magar watu wanaletewa nyumbani zinavyofanya ajili zisiishe
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mbona wengine hatujawahi kusikia Wanaharakati wakisema hivyo? au wewe ndiye mwenye harakati za kusema hivyo?. Kaka fanyakazi kwa bidii, fuata maelekezo ya serikali katika kujiletea maendeleo, kama ni Mwanafunzi soma kwa bidii utayaona maisha katika mwanga bora.

  miogomo, maandamano, uvivu, majungu sana, kashfa,chuki binafsi, visasi ni adui mkubwa wa maendeleo. Endelea kusubiri Rais wa 2015 atakuletea kila kitu umekaa.
   
Loading...