DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 301
Mi nafikiri kazi ya polisi wanapopata hizi taarifa ambazo wanaita za kiitelijinsia ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia mikutano kufanyika maana huku ni kurudishana nyuma kwakweli.
Hawa polisi wetu ni mayai kiasi gani!!
Yani hata wakitishwa na nyembe, mkutano hautafanyika!!!.
Hawa polisi wetu ni mayai kiasi gani!!
Yani hata wakitishwa na nyembe, mkutano hautafanyika!!!.