mhe sitta na katibu wake tax ndani ya TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mhe sitta na katibu wake tax ndani ya TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Nov 5, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mhe sitta ameamua kuelimisha umma 2ijui East africa plz msikose ili 2weza kuijadili vema.japo sijui msemaji wa wizara yuko wp? Mpaka waziri ameamua kusika mpini mwenyewe
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  tbc mimi naangaliaga ze komedi tu.
   
 3. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kuna wakati wanahabari watazame uwajuwe
   
 4. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mda gani?
   
 5. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Du.mi tbc1 mpaka alhamisi sa 1 jion ndo naangalia tu!
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona wamechelewa sana. Kenya sasa hivi wanaingia kwenye awamu ya tatu ya kuelimisha umma juu ya EAC. Kuna raia wa kawaida sasa hivi Kenya ambao wana uelewa mkubwa kuhusu EAC kuliko baadhi ya viongozi wao. Sisi tunabakia kulalamika na kuogopa
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  tuelewesheni ili tusiingizwe choo cha kike. Nalog off
   
 8. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Nilivyoona TBC1 nikashituka. Mimi ilibidi nisearch manually ili nisipate kabisa TBC. Na toka aondoke Tido ndo kabisaa na nikaacha kuangalia hiyo OC yao
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Lengo ni zuri ila channel alopitia me nshaidelete!
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Bora ingekuwa ITV, huku ataangalia na magamba wezake.
   
 11. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata hapo unakosea kabisa!!
   
Loading...