Utumiaji wa mirungi hadharani ni halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utumiaji wa mirungi hadharani ni halali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maganga Mkweli, Nov 5, 2011.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wakuu ,
  arusha as my reference point
  kwanza nianze kwa kupongeza harakati nazo ziona ndani ya mkoa huu wa arusha kwa kuonekana jinsi walivyo na muitiko chanya kwenye madiliko hasa kwenye harakati za kuiondoa hii serikali ambayo tayari imeshaprove failure siku nyingi sana
  mimi nina jambo moja baada ya kukaa hapa kwa kipindi kifupi hapa arusha hii kwangu ni kero kwa kweli na nifahamuvyo ulaji wa mirungi aka qaat, khat, ghat, gati, miraa, gomba, mbaga, veve, mti, kijiti, majani, maua …hadharani ni kosa kisheria sasa nistajabika kuona vijana wengi wanakula sana hii kitu tena hadharani
  ingawa wanapiga sana ile kitu ya arusha lakini naona ili wamekuwastaarabu sana pamoja na viroba na ugoro
  maswali ambayo najiuliza sana ni
  je huu ulaji wa mirungi unachangiwa na vijana kukata tamaa na maisha kutokana ubovu wa hii serikali?
  Mmonyoko wa maadili?
  Mobb ?
  Unaweza kukuta mtu katuna mdomo kama mbuzi kwenye daladala hivi kweli hii ni halali ni sawa hiz ni starehe lakini kuna haja yakushabikia issue kama hizi
  nawasilisha
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mirunge haipo kwenye listi ya madawa ya kulevya ingawa haijaruhusiwa kufanywa biashara kisheria. Lakini haya mambo ya madawa nadhani yangehalalishwa tu ili kupunguza ukali wake. Ureno wamefanya hivyo na mafanikio yameanza kuonekana. Huku kwetu, kwa mfano, kitu cha mmea kinatumika kama mboga na watu wana akili sana.
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  nakuelewa mkuu lakini Mirungi inakusanya ndani yake alkaloid iitwayo cathinone, amphetamine kama kichangamsho (stimulant) ambayo inasemekana husababisha msisimko, uchangamfu, kuwa na aina ya furaha ya kuwazika –kuhandasika- na huondosha hamu ya kula na kusababisha ukosefu wa usingizi.Mnamo mwaka 1980 WHO (Shirika la Afya Duniani) liliiweka Mirungi katika fungu la madawa ya kulevya ambayo inasababisha nafsi kutawaliwa nayo au kuwa na uraibu (addiction) kwa daraja ya kati hadi ile yenye nguvu.
  ni kweli inaweza huu ulaji unaleta tija kwa taifa, kama wasemavyo wenyewe walaji Mirungi wanaamini kuwa majani hayo huwapatia nguvu, na uchangamfu na mliwazo wa furaha ‘Handasi au Nakhwa' kwa lugha yao. "Hakuna Mirungi, hakuna nguvu, na hivyo hakuna kufanya kazi, jimaa, kusoma, au chochote," hivyo ndivyo wanavyodai.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Ukikaa karibu na mla veve na akikukera sogea pembeni kidogo ili usikereke.
   
 5. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  lina tija kwa taifa lenye kutaka mabadiliko au ndio mpaka katiba mpyana hili .
  sas mpaka watoto wasekondari wanapiga hii kitu hebu tuitazame wakuu kwa kinaa wanapata wapi hawa pesa za kununua hii mirungi jamani?
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mwita, kwa sheria za Tanzania mirungi hairuhisiwi, inahesabika kama dawa za kulevya
   
 7. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mkuu makamanda wangu wa arachuga nawakubali sana wanamsimamo sana machalii wa hapa iakini kwa hili kwa kweli si wasupport kabisaaaaaa
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Weka kifungu
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Gharama za cocain na heroin ni kubwa kuliko za mirungi, kwanini tusishuhulikie kwanza swala la heroin na cocain ambazo zinaingia TZ kutoka mataifa ya mbali sana na hili la mirungi litafuata baadaye coz inapatikana nchi jirani ya Kenya ambapo imehalalishwa? Kama serikali imeshindwa kudhibiti matumizi ya ngada/unga/vialili inayoingia TZ tena kwa ndege je itaweza kudhibiti mirungi inayoingia TZ kutokea kenya tena kwa njia ya magari??
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  usipende kutafuniwa... kwanza shukuru kwa kuelimishwa, halafu nenda kaitafute sheria utakiona kifungu
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  We kinachokutouch nini haswa? Je? Kt ya pombe na mirungi we ungependelea kp? Ingali cjawahi ku2mia lakini nina mpango wa kuachana na lager nituwe humo maana nimepata tetesi ya kwamba ni kheri gomba kuliko pombe. Ila nasikia ni ghali sana kwn inauzwa kwa KG mpk Tsh.30,000 na hii ntaangalia tena.
   
 12. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Huwezi sema sababu ya kula mirungi ni kukata tamaa mheshimiwa. Mirungi inauzwa ghali sana, unahangaika sana kuweza kununua hiyo mirungi, big G na coca cola. Na nyumbani ushaweka hela ya familia.
  Hii inakuza ajira na kuongeza kuchakarika.
   
 13. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  nakuelewa mkuu lakini sio kuendelea kutetea watu kula mirungi kisa serikali imeshindwa kudhibiti madawa mengine ni jukumu langu pamoja na wewe kama unaona mirungi ni kitu kibaya kwa jamii kuelimisha wapunguze ikiwezekana waache kabisa
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya tajiri na maskini inawasukuma wananchi maskini kutafuta namna ya kujiliwaza na kustarehe kwa vilevi vya bei chee, ili kutatua tatizo hili ni lazima uchumi wetu kuzingatiwa kwa umakini, iyo nguvu ya kupigia mbuzi gitaa kuelimisha wananchi waache mirungi ni bora tuitumie kuhamasisha serikali ifate mapendekezo ya kiuchumi yaliyotolewa na World Bank dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wa tanzania.
   
 15. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  kweli tunafoutiana kimtazamo .mimi binafsi situmii kilevi chochote kwangu havina tija,ila inasikitisha sana kwa great thinker kama kuendelea kutetea hii kitu wewe mwenyewe unasema unasikia kilo ni mpaka 30,000/= sasa kwa logic ndogo tu uwezo wakupata hizi unatoka wapi jamani mbona tunapenda kutetea maovu penye ukweli tuseme tu hata kama unatumia kuwa muweazi ulezee na impactt zake
   
 16. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ajira za namna gani hizo mkuu tujuzane?
  hivi ni sifa kula mirungi ?
  nafahamu hii maada imewatouch wengi ila wekeni ushabkiki kando tutendeni kwenye fact mirungi naYO ni MADAWA YA KULEVYA WAKUU .
  nasupport movement nyingi sana ila kwa hili hapana ni mtazamo tu namsetegemee kunibadilisha kwa hichi nacho amini
   
 17. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mkuu mirungi ni gharama , na mimi concern yangu kubwa ni kwa vijana hasa hawa wadogo tena wa sekondari wanapata wapi hela ya kununua mirungi jamani ?
  serikali ya ccm imeshindwa kazi hilo sikati lakini je ulaji wa mirungi nao tuutete kweli?
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Maskini aliyekata tamaa anakula chochote anachoona kinamfaa bila kuogopa coz hana chakupoteza.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Hivi hujui kuwa mirungi inauzwa kuanzia elfu nne?? Sitetei ulaji wa mirungi ila nataka ujue kuwa mirungi ni ulevi mkubwa wenye gharama ndogo that y hao watoto wanakimbilia.
   
 20. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  elfu 4 ni gharama ndogo kwa mwanafunzi na mwananchi wa kipato cha chini?
   
Loading...