Utetezi wa Kakobe huu hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utetezi wa Kakobe huu hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Jul 30, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Dezidellius patrick amefungua kesi 79/2011 mahakama kuu dhidi ya askofu kakobe kwa kutumia katiba ya zamani ambayo imesha futwa.


  Katiba hiyo ilifutwa kufuatia wadhamini kufariki na wengine kuhama nchi na kupata uraia wa uingereza.
  Katiba iliyowasilisilishwa na dezdellius inaonyesha kuwa marehemu verite tunkolege kapange ambaye alifariki dunia tarehe 24/08/2008.


  Pia rema afyukile kapange alikwenda uk tangia mwaka 1994 na kupata uraia huko.

  Kutokana na mabadiliko bodi ya wadhamini wa kanisa la fgbf ilikaa kikao na kubadilisha wadhamini na kuthibitishwa na rita.  Juzi wakaili wa kakobe amewasilisha nyaraka mahakama kuu na sehemu ya nyaraka hizo kutoka mahakama kuu imeambatashwa.

  Kesi inatajwa inatajwa jumatatu tarehe 1/08/2011


  source: Mahakama kuu.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Marehemu wamehusishwa kwenye kesi
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakuna kesi hapo. Ni wivu wa kike, mlalamikaji atafute pori aanzishe kanisa lake
   
 4. n

  njija Senior Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mungu amsamehe huyo mchungaji, kwa kumfungulia Bishop Kesi kwani ni kweli kabisa katiba ili badilishwa na yeye amefungua kesi kwa katiba ya zamani, nilikwenda katika ibada yao siku moja katiba ya zamani ili somwa na hiyo mpya pia hivyo hata washirika nao wanazielewa katiba hizo yaani mpya na ya zamani.
   
 5. katabu

  katabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa nadhani kafundishwa jinsi ya kuishi maisha ya kichungaji. Nadhani hata bible alikuwa hajui. Hata mpaka kuwa Mch. alipikwa tokea fgbf Mwenge. Sasa sijui anapata wapi kiburi cha kumshtaki mwalimu wake. Kweli shetani ni MUHUNI. Drs la kwanza tulifundishwa na Mwl wetu wimbo usemao: (Atakaye mchukia mwl wake) Atapata laanaX2 (Laana Eeeh laana Ee) atapata laana.
   
 6. w

  werawera Senior Member

  #6
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii kitu si leo... Hebu waliopo karibu huko, mtupe updates...
   
 7. g

  great vision Senior Member

  #7
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nianze kwa kuwasalimu wanajf wenzangu,natumaini wote ni wazima wa afya njema,mimi nimekuwa miongoni mwa watu ambao nimefuatilia kwa makini sana juu ya Mchungaji huyu ambaye amekwenda mahakamani kumshtaki Askofu Kakobe,kwanza kabisa asema pole sana Bishop kwa usumbufu wote unaoupata kupitia huyu Patrick Dezy alikuwa hapo Mafinga,mkoani Iringa. huyu ni mhuni tu wala hana chochote. katika mwezi huu wa saba (julai) nilikuwa Dar -es-salaamu nikasema leo lazima nikasali hapo Mwenge kwa Bishop Zachary Kakobe
  niliyoyaona ni tofauti kabisa na kile ambacho huyo Dezy Patrick alichokuwa anasema dhidi ya Bishop wake,mimi nasema Bishop wake kwa sababu Baba ni Baba tu hata ukimkana bado ni Baba tu.
  siku hiyo kulikuwa na Maaskofu toka Tanzania nzima wapatao 19 na wachungaji zaidi ya 400.aliokuwa wametoka katika Mkutano mkuu na Kongamano lao huko Dodoma,Na Washirika maelfu kwa maelfu. Katibu Mkuu wa kanisa la Full Gospel, Tanzania Bishop Nathan Meshack ambaye ni askofu wa jimbo la Iringa alisimama na kwa kukaribishwa na Askofu mwenyeji Zachary Kakobe.kuzungumza na kanisa la F.G.B.F pamoja na Maaskofu na WACHUNGAJI WOTE.baada ya salamu alisema "kumekuwa na taarifa nyingi ambazo si sahihi zinazovuma, leo nataka mimi kama katibu Mkuu wa kanisa kuwapa taarifa sahihi juu ya kanisa hii kwa sababu sisi ndiyo watu wa Mwanzo kabisa kuwepo kabla hata ya kanisa hili kuanzia tukiwa na chombo cha kuhubiri Injili kilichoitwa "GET" yaani Gospel evanglism Team ndiyo iliyozaa FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP, na askofu zachary kakobe kama kiongozi wetu. lakini kwa kuwa wapo hapa Maaskofu wenzangu naomba niwape nafasi waseme wenye kwa mdomo yao, kila askofu aliyesimama kusema alikuwa upande wa Bishop Zachary Kakobe,na kusema wala hawana mpango wowote wa kuwania Uaskofu Mkuu kwa wakati wowote na wote kwa kauli moja walisema tumemchagua Askofu Kakobe kuwa Askofu wa Milele yaani hadi Kifo chake du! kama Papa.nasema du! kwa sababu ni msumari mwingine kwa Dezy.nichoshuhudia ktk ibada hiyo ni kila Mchungaji kueleza jinsi wanavyompenda askofu KAKOBE na kumheshimu na jinsi ambayo amewasadia mengi katika maisha yao na utumishi wao niligungua kama hujafika kwa KAKOBE ni rahisi kabisa kuamini uongo mwingi wa huku nje na wa kina DEzy na wenzake mimi nasema wakatubu tu! la sivyo Mungu hawezi kuacha wachafue kazi yake kiasi hichi. siku hivyo nyimbo nyingi za kumsifu Mungu wa matendo mengi mema anayotenda Bishop kakobe ziliimbwa mfano Full Gospel ni ndege ya kubeba wateule na Kakobe ni Rubani wa kwenda mbinguni na utakatifu ni mafuta ya ndege hiyo. Kwaya ya wachungaji na Maaskofu iliimba kwa ustadi mkubwa.atimaye Katibu Mkuu wa FGBF alionyesha muktasari wa Mkutano Mkuu uliomchangua askofu zachary Kakobe, kwa wachungaji zaidi ya 400 kutia saini zao za kuthibitisha wampitisha bila kupingwa kuwa askofu wa milele kwa sababu wamemkubali kwa kauli moja wote. hivyo killa miaka 5 watakuwa wanaenda kumpisha kwa sababu ni sheria ya nchi tu lakini wao hawana tatizo juu ya hilo la uaskofu pia Kwa macho yangu nilimwona Mtunza Hazina mkuu wa kanisa Bishop Jimmy Sakuye toka Arusha. na pia wa kanisa la Dar anayeitwa Hosea mwenye sifa kweli kweli za kitaaluma kumbe ya Dezy ni chuki binafsi na uzushi. hapa ile CD ya mipango yao na Dr G. Rwa na Mch. Mtikila nimethibitisha wazi ni uzushi . nenda Mwenge kanisa lipo shari watu wanamwabudu Bwana ktk Roho na Kweli. Bishop kakobe kelele za Dezy ni sawa na kelele za chura zisizomnyima Tembo kunya maji nguvu iliyopo nyuma yako niliyoiona hapo mwenge siku ile si Dezy wa mtikila wanaokuweza Keep up in lord Jesus christ. you will overcome.............................
   
 8. E

  Evergreen Senior Member

  #8
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />


  Umesema Vyema Mkuu,Mimi hata kabla ya hayo Maelezo yake,sijawahi kutilia shaka uadilifu na Utumishi wa Mungu wa Bishop Zachary Kakobe,namjua vizuri mtu yule!! Ukipata nafasi ukahudhuria ibada hata mbili tu pale Mwenge utaelewa Vyema kwa nn Shetani na Mawakala wake eg Rwakatare,Mwingira na hako ka-Patric hawalali Usingizi!!

  Tatizo kizazi hiki ni kizazi ambacho kinaweza kudanganyika kirahisi,unaweza kuanzisha uzushi wowote kuhusu Mtu yeyote na ukaenea kama Moto msituni na ukachukuliwa ndiyo ukweli!!


  Bishop Kakobe ni Mtumishi wa Mungu wa Ngazi za juu sana,kama kawaida,watu wa Taifa halimozaliwa Wamemkataa na kumdhihaki,na kumtukana katika kila namna kama ilivyo Historia!!
  Hata hivyo,Watumishi wote ambao walifanya kazi ya Mungu katika Viwango vya kibiblia lazima wapitie Moto huo,hivyo Bishop hana Budi kufurahi anapotukwana maana hicho ndiyo kipimo cha ukali wa Mishale anayomtupia Adui!!!
   
 9. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NADHANI MAKANISA HAYA YANAPASA KUJIFUNZA HUU MTINDO WA KUWAPIGIA KURA VIONGOZI WA DINI NI WRONG, VIONEAR YEYE ANAMKATABA NA MUNGU HANA MKATABA NA WAFUASI WAKE, HAPA NI KAKOBE NA MUNGU HATUJUI WALIKUTANA WAPI WAKAPEANA MAONO, NA MUNGU AKAMSAIDIA KUSIMAMIA MAONO SASA HATA KWENYE BIBLIA PALE ALIPOKUWA AMEKUFA YUDA WALIPIGA KULA MITUME MATIASI AKASHINDA ILI AWE ABADALA WA YUDA, MATENDO YA MITUME 1:23 Basi, wakataja majina ya watu wawili; wa kwanza Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.


  24 Kisha wakasali: "Bwana, wewe unajua mioyo ya watu wote. Hivyo, utuonyeshe ni yupi kati ya hawa wawili uliyemchagua


  25 ili achukue nafasi hii ya huduma ya kitume aliyoacha Yuda akaenda mahali pake mwenyewe."


  26 Hapo, wakapiga kura; kura ikampata Mathia, naye akaongezwa katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja.

  MUNGU HAKUWEPO KWENYE MPANGO HUO. HATA SIKU MOJA SIJAWAHI MWONA MATIASI AKIFANYA KITU CHOCHOTE ZAIDI YA KUSHINDA UCHAGUZI ,MITUME WALIKUWA WACHANGA WAKAINGIZA WORLD SYSTEM KWENYE UFALME , MATIASI HAKUWAHI WALA KUANDIKA WARAKA WALA KUKEMEA PEPO HUO NDIYO ULIKUWA MWISHO WA MATIASI ,PALE MUNGU ALIPOMCHAGUA PAULO BAADA YA YUDA ALISEMA NITENGEENI PAULO NA BANABUS KWA KAZI YA INJILI DEMOCRASI INAANGARIA SURA MUNGU MOYO WALIWACHA PAULO NA BANABUS ONA MUNGU AKAWACHAGUA,HUU MTINDO NIMEUONA TAG AMBAKO WANAFANYA KAMPENI ZA WAZIWAZI SI MZURI KABISA,SASA HUYU BWANA ANATAKA AWE PAPA WA FULLGOSPEL WAKATI PAPA YUPO, HAKUNA MFALME MPYA HADI MFALME WA ZAMANI AFE, 1Pe 2:9 But ye are a chosen generation, a royal priesthood, an holy nation, a peculiar people; that ye should shew forth the praises of him who hath called you out of darkness into his marvellous light: SWAHILI 9 Lakini ninyi ni ukoo mteule, makuhani wa Mfalme, taifa takatifu; watu wake Mungu mwenyewe, mlioteuliwa kutangaza matendo makuu ya Mungu aliyewaiteni kutoka gizani akawaingizeni katika mwanga wake mkuu.
  HUDUMA IKO KWENYE MISNGI YA KIFALME SIYO DEMOCRASIA NI MAKOSA KUWEKA KIPENGELE HICHO KWENYE KATIBA EBU TUULIZIE RC,DEMOCRASIA NI NZURI LAKINI IS NOT God made is man made, is good but not better way, God is opperating in kingdom system,PIA NI WAKATI WAKRISTO JIFUNZENI KWA WATU WALIO FANIKIWA ACHENI ULOKOLE WA KITANZANIA ,PIA SHULE NI LAZIMA,AMASIVYO KILA SIKU TUTAZALISHA WATU HAWA WANAONAO MSHITAKI MAHAKMANI BABA YAKE, YEYE HUYU NI MFANYA BIASHARA ASHIKE MOJA NA AFANIKIWE KWENYE BIASHARA YA MBAO SI CHURCH, ASIPEWE MTU KANISA HADI AWE NA ADV DIPLOMA AU DEGRE BILA HIVYO,HAWA WATU WATAKUJA KUTIA AIBU.
   
Loading...