Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Ni waliokosoa Muswada wa Ununuzi Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu, amewajia juu wabunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndio A.y anaimba, anasindikiza usiku wa kumtafuta mshindi wa Tikisa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
anzania has been spared the internal strife that has blighted many African states. Though it remains one of the poorest countries in the world, with many of its people living below the World Bank...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
VYOMBO vya habari vimepigwa marufuku kurusha matangazo yanayohusiana na biashara ya waganga wa kienyeji wakiwemo na wanajimu. Yameazimiwa hayo katika mkutano uliowakutanisha wadau wa vyombo hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
umevaa jeans la mtumba; used. Unaendesha gari 'used'. Na hata hii post unaisoma kwa kutumia laptop 'used'. Iweje sasa upinge serikali kununua vitu 'used?'
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naam niko huku kanda ya kaskazini. Niko ofisi fulani hivi! Nashangaa wingi wa vijana nikajiuliza kulikoni! Eti wanajiandikisha kuwa waigizaji! Loh tena wanalipa ada ya kujiandikisha! Shs kila...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu watanzania mliopo hapa Jf ninadhani kitendo cha wakuu wa mikoa naJeshi la Polisi na Mahakama kudhulumu haki za watanzania ni kitendo cha kulaani mpaka kufa. Huu ubaguzi wa aliye nacho na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf jana nimebahatika kuingia kwenye ofisi za barrick north mara lakini nilisikitishwa sana kuona kanga yenye picha ya mwl j.k nyerere ikiwa na ma maandishi TUMUENZI NYERERE 1922-1999.kimsingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nilipita kwenye hili tawi la M-pesa kujaza akaunti yangu, baada ya kuhesabiwa kwenye kimashine chao ambacho mteja hukioni nikaambiwa eti zimepungua alfu 10 wakati hela nimetoa benki, Sitaki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Man arrested for having sex with goat A thirty five year old man is currently admitted in Soroti hospital after an angry mob beat him up for allegedly having sex with a goat that later on died...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Dah! kila nikimwangalia ongea yake na vtendo vyake nikimweka group la wakaka hafananii, la wadada haelekei yani yuko kama gia 1 hakai 2 hakai 3 anafyetuka ndo mana nimeuliza naye anakameruniwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
hivi channel gani ya Television ni nzuri for our local news? ITV wananiboa. bila kumwonesha Mengi kwa nusu saa, taarifa haijakamilika, TBCCM ndo huwa siiangaliagi, utadhani haina wawakilishi...
0 Reactions
4 Replies
765 Views
kandoro kila anapoenda anakumbwa na maandamano na ya wamachinga kwanzia mwanza na sasa mbeya kulikoni!kuna matatizo meng sana ya kudili with kama upigaji wa nondo na kuungua kwa masoko!wachen...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi vyandarua vya msaada vinavyopunguza nguvu za kiume, nimegundua ni mbinu ya kupunguza ama kuondoa marijali Tanzania na Africa, ili lengo la Cameroun la kuwahalalisha wanaume waolewe litimie...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
WATANZANIA waliopo ndani na nje ya nchi wametakiwa kuonesha uzalendo na kushirikiana kwa pamoja kuupigia kura Mlima Kilimanjaro ili kuhakikisha unashinda na kuwa moja ya maajabu mapya saba ya...
2 Reactions
227 Replies
20K Views
Leo mmetangaza ofa, asanteni ila nimepata problem ya kutuma sms, hakuna inayotoka! Na ni lazima nitume sms hizo. Kweli nimekua disappointed sana na hawa viumbe! Nimeamua kutafuta line yangu ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana jf mnaonaje mwenendo wa utendaji kazi wa serikali?Mimi binafsi naona kuna ubaguzi mkubwa sana kwa baadhi ya mikoa toka kupata uhuru,kwa mfano kuna mikoa kama ruvuma hakuna chuo kikuu hata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
-WAKUU KWA KWELI MAANDAMANO NA VURUGU ZINAZO FANYWA NA VIJA MATHALANI KULE MBEYA NI HAKI KABISA WAFANYE. LEO NILIINGIA KWENYE HOTEL MOJA YA NAURA SPRING ILIYOKA MITAA YA SANAWARI ARUSHA, BARABARA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana mkuu wa mkoa alishuhudia live jinsi jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya mpya ya Uyui lilivyochaa kwa kipindi kifupi tu tangu lianze kutumika. Kiukweli kuta zina nyufa na milango ipo hoi kiasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…