kandoro na machinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kandoro na machinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyeuc, Nov 12, 2011.

 1. N

  Nyeuc Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kandoro kila anapoenda anakumbwa na maandamano na ya wamachinga kwanzia mwanza na sasa mbeya kulikoni!kuna matatizo meng sana ya kudili with kama upigaji wa nondo na kuungua kwa masoko!wachen uijana watafute rizik wakizura mnawakamata wazururaji
   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mwanza naye alifanya hivyo yakamshinda JK kamapa kazi ya kuvuruga wamachinga mikoa anayopelekwa
   
 3. B

  BRIA Senior Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  cheap popularity ndo anayotafuta
   
 4. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kandoro hata anapoongea anaonyesha ubabe sana. Ubabe utamcost.
   
Loading...