Kwa serikali, uhamiaji na wizara ya kazi ajira na vijana,

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,902
-WAKUU KWA KWELI MAANDAMANO NA VURUGU ZINAZO FANYWA NA VIJA MATHALANI KULE MBEYA NI HAKI KABISA WAFANYE.

LEO NILIINGIA KWENYE HOTEL MOJA YA NAURA SPRING ILIYOKA MITAA YA SANAWARI ARUSHA, BARABARA YA KUSHUKA AICC.
NILICHO KUTANA NACHO KULE NI LUNDO LA WAHINDI AMABAO WAMEAJILIWA KAMA WAFANYA USAFI KWENYE HIYO HOTELI NA NIMEWASHUHUDIA WAKIWA WANA SAFISHA ENEO LA PARKING ZA MAGARI KWENYE HIYO HOTELI.

-Nilijalibu kuongea na mlinzi wa pale akaniambia wale wahindi wameletwa kutoka huko india na hata kiswahili hawajui na nikaambiwa kuna mhindi mmoja jina sikutajiwa amenzisha recruitment company yake specila kwa ajili ya ku recruit wahindi pekee kutoka India na kuwaleta kufanya kazi Bongo.

- Je zile kazi watanzania hawezi kuzifanya? na hata kama hawawezi c ni kiasi cha kufundishwa?
 
Watanzania wamekuwa addicted na Wahindi yaani hata jamaa yangu Mrema haamini tena waswahili wenzake hadi anaajiri wahindi?
 
Wahindi na Wachina kwakweli nawachukia. Wengi wao si wema, utu hakuna.
 
juzi naibu waziri anaulizwa employment rate ikoje kwa tanzania!akawa hana jibu sijawahi sikia rais wetu akizungumzia suala la ajira kwa data,utasikia sekta isiyo rasmi itaajiri mara oh ah
 
Iko wapi ile sheria ya kulinda ajira za ndani? Je ni sheria ipi inayotekelezwa nchi hii?

Ukienda kwenye mahotel ya kitalii kule Karatu na kwingineko unaweza kujiuliza maswali menig
Kuna wanaosema watanzaia ni wavivu na hawaendi kazi (kama alivosema waziri mkuu bunge lililopita) lakini kwangu hili bado ni too much to be accepted. Kama ndivyo ile sheria ya kulinda watanzania kwenye soko la ajira ndani ina maana gani sasa kuitunga halafu waziri mkuu anatoa kauli za kizembe kama hizi?

We need to get back to the fact kwamba kuwaacha hawa vijana wetu bila ajira na kuwaleta wahindi tunalea bomu ambalo kuna siku vijana hawa wakiamua hapatakalika......wale tunaowatukana ma-jobless na wanaishia kuandamana mtaani ni kwa sababu hakuna kazi, kuna siku watazinduka na wahindi wenu na wengine wote mtawatafutia pa kuwapeleka....wake up government ya Tanzania
 
Kwakweli wakuu inauma sana. Bora ingekuwa katika section kama za upishi, ila hili la wafagiaji linauma sana.

Hata haya makampuni ya kichina yanayo jenga barabara huku bongo inashangaza kukuta wachina ndo waendesha yale magreda unashindwa kujua inakuwaje.
 
Kwakweli wakuu inauma sana. Bora ingekuwa katika section kama za upishi, ila hili la wafagiaji linauma sana.

Hata haya makampuni ya kichina yanayo jenga barabara huku bongo inashangaza kukuta wachina ndo waendesha yale magreda unashindwa kujua inakuwaje.

acha tu waajiri waihindi, wachina wakenya na wengineo tumezidi longo longo nyingi. imefika kipindi tuchange our behaviour na sio kulalamika tu. mi nakumbuka kuna hotel moja hapo Dar kubwa tu wafanyakazi wake wakibongo walikuwa wanaiba mpk vijiko na visu wanakuja kutuzia ofisini sasa bosi akigundua kuwafukuza tutasema ni wabaya kwa kuwa bosi ni mhindi.
 
Back
Top Bottom