Barrick north mara yafanya dharau kwa nyerere na watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barrick north mara yafanya dharau kwa nyerere na watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mahololelo, Nov 12, 2011.

 1. m

  mahololelo Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana jf jana nimebahatika kuingia kwenye ofisi za barrick north mara lakini nilisikitishwa sana kuona kanga yenye picha ya mwl j.k nyerere ikiwa na ma maandishi TUMUENZI NYERERE 1922-1999.kimsingi sikupendezwa hata kidogo na ujumbe ule wa dhihaki kwani naamini kama nyerere angekuwepo wizi na dhuruma hii inayofanywa migodini usingekuwepo,tulaani kwa nguvu zetu zote udhalilishaji huu.Nawakilisha
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Wewe ndugu lete hoja yenye nguvu tuijadili hapa mimi sioni cha kujadili
   
 3. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wako sahihi tumuenzi mwalimu huo ujumbe umepewa wewe ambaye umeusoma sasa shida ni nini? baniani mbaya kiatu chake dawa
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tz shamba la bibi
   
Loading...