Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi cha dakika 45 pale ITV ni kama jukwaa la kisiasa la wanasiasa kutangaza sera zao kwa sababu mtangazaji hana uelewa wa maswali anayouliza hivyo kuwaacha jamaa wanajimwaga tu na majibu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimejikuta nafikiria hatma ya nchi yetu pendwa Tanzania, haswa kutokana na yanayojiri ulimwenguni leo, sijiiti mtabiri lakini nikiwa mmoja ninae amini katika uhalisia, naamini nchi yetu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunajua kabisa kuwa sekta inayoongoza kwa kulipatia mapato taifa ni utalii. na utalii mwingi upo arusha...viongozi wetu kama wana akili timamu kwa nini wanausumbua huu mji unaowapa mapato makubwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tulipokuwa sekondari tulikuwa tuna debate motion moja very common inasema "Money is a source of all evils. Agree or Disagree" tunargue weee kinadharia tuu lakini ilikuwa ni somo. Siku za hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shughuli na Mawasiliano kati ya Kigamboni na maeneo ya katikati ya jiji yalisimama leo hii na kusababisha usumbufu na misongano. Hali hii ilisababishwa na hatua ya mtoto wa malkia wa Uingereza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
mtu mmoja asiyejulikana ameungua vibaya na kuwa mweusi kama mkaa alipokuwa akijaribu kuiba mafuta ya transfoma tanesco na polisi tayari wameshafika. picha baadae.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wananchi watanzania tumezoea kuhabarishwa kupitia hiki chombo cha UMMA hasa taarifa ya habari kila saa mbili jioni. Leo vipi mnatuonesha mafisadi na wezi wanavyo kula matunda ya uhuru wa nchi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wana-Arusha wenzangu, Usiku wa jana mitaa mingi ya jiji letu ilikuwa shwaari bila bughudha za vibaka. Watu walioanika nguo nje wamezikuta asubuhi. Kulikoni? Au ni kwa sababu ya ujio wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesitisha safari za mabasi 14 ya kampuni za Dar Express kutoa huduma kati ya Dar es Salaam- Arusha na Arusha-Tanga kuanzia...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Collapse of euro 'would leave Britain BETTER off but if it stays we will see 10 years of austerity' Bailout contribution could rise to £40bn Get tough on Europe IDS tells Cameron as Tories hold...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wale wasanii wa bongo flava na nyimbo yao ya Miaka 50 ya Uhuru wote wanafiki. Taifa linakabiliwa majanga makubwa wao wanaimba pumba tu pale,na vibendela vyao. Pu....fu..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
chadema waliomba(jana) lema apewe mdhamana lakini logistics zimekataa mpaka baada ya siku 14.chadema waliomba kibali cha mkutano kwa siku ya leo.lakini cdm wamekiuka hilo na kuamua kukesha eneo la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tangu kuondolewa au kuangushwa kwa utawala wa Gadaf,shughul za uvuvi haram zimeonekana kushka kasi,ila inasemekana kuwa boti zinazofanya shughuli hizo zinatoka nchi za jumuiya ya Umoja wa nchi za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
EWURA mmetuhakikishia kuwa mnayo mafuta ya kutosha kumbe ni siasa tu, leo mji wa IrInga hakuna petrol kabisa tunataka majibu ya uhakika ni nini kimetokea hadi visima vyote havina Petrol wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kale kamchezo kakuhaki akaunti za watu kamemdondokea kwa mara nyingine kijana sharobaro wa magogoni ndugu Rweyemamu Wenye urafiki nae kupitia twitter angalieni siri za chumbani magogoni zinavyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja mkazi wa jiji hili la mwanza anaesadikika na mgambo wa jiji nusura juzi wamtoe roho wakazi wa mtaa wa makoroboi baada ya mgambo huyo kuanza kukusanya bidhaa za wamachinga zilizokua...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Taarifa za awali zinaonyesha mamillion ya fedha za walipa kodi yameliwa katika ujenzi wa nyumba ya mkuu huyo. Imethibitika katika budget ya serikali hiyo fedha haikuwepo ya kumjengea mkulu huyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
VODACOM imetoa namba na ya bure kwa ajili ya kuupigia kura Mlima Kilimanjaro kuwa moja kati ya maajabu saba ya dunia, jinsi ya kupiga kura andika neno KILI au KILIMANJARO, kwenda namba 15771...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinachokera kama kuona askari polisi wanaosimamia utekelezaji wa sheria wao wenywe ndio wa kwanza kuzivunja. Mara kadhaa nimekuwa nikiona askari polisi wakiendesha pikipiki bila helmet...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom