Hivi hii serikali inaubaguzi?

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
954
510
Wana jf mnaonaje mwenendo wa utendaji kazi wa serikali?Mimi binafsi naona kuna ubaguzi mkubwa sana kwa baadhi ya mikoa toka kupata uhuru,kwa mfano kuna mikoa kama ruvuma hakuna chuo kikuu hata kimoja cha uma ili hali kuna mikoa ina vyuo vikuu zaidi ya viwili huu sio upendeleo?kuna umuhimu gani wa mkoa mmoja kujaza vyuo tele wakati mikoa mingene hakuna hata kimoja?haya ona barabara toka njombe hadi songea ni mbaya sana,haijafanyiwa marekebisho toka alivyoijenga mkoloni, huu si ubaguzi wa wazi dhidi ya wananchi?ona baadhi ya mikoa barabara imetinduliwa mara ngapi!lami ikipata nyufa kidogo tu inatinduliwa haraka sana.naumia sana yako mengi.
 
haya ni matokeo ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.
 
haya ni matokeo ya wabunge kutoishi majimboni mwao na kukumbana na adha ya matatizo hayo nakupelekea kushindwa kupewa kipaumbele kwa baadhi ya mikoa ambayo haikuendelezwa na mkoloni
 
Wana jf mnaonaje mwenendo wa utendaji kazi wa serikali?Mimi binafsi naona kuna ubaguzi mkubwa sana kwa baadhi ya mikoa toka kupata uhuru,kwa mfano kuna mikoa kama ruvuma hakuna chuo kikuu hata kimoja cha uma ili hali kuna mikoa ina vyuo vikuu zaidi ya viwili huu sio upendeleo?kuna umuhimu gani wa mkoa mmoja kujaza vyuo tele wakati mikoa mingene hakuna hata kimoja?haya ona barabara toka njombe hadi songea ni mbaya sana,haijafanyiwa marekebisho toka alivyoijenga mkoloni, huu si ubaguzi wa wazi dhidi ya wananchi?ona baadhi ya mikoa barabara imetinduliwa mara ngapi!lami ikipata nyufa kidogo tu inatinduliwa haraka sana.naumia sana yako mengi.

Polen saana wanaruvuma laiti kila mbunge angekuwa anafanyiwa evaluation kila mwaka ya mambo aliyoahidi na maendeleo aliyoyafanya jimbon mwake kama hakieleweki bac anawajibishwa mi nadhan tungekuwa tumepiga hatua flan kimaendeleo ila hi ya kuchukuliana powa powa mpaka kwny sekta muhimu ndio inawafanya wajijali wao kwanza na familia zao, Hivi mbunge wa ruvuma alisha wahi hata kuchangia chochote bungen? kwa hali hiyo MAENDELEO LAZIMA TUYADAI KWA MAANDAMO nadhan ndio watashituka
 
Ungefanya tasmini ya mikoa yote ya Tanzania bara...! wewe umeona Ruvuma peke yake.
 
Back
Top Bottom