Hivi Michuzi anaishi Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Michuzi anaishi Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jakubumba, Nov 2, 2011.

 1. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani kila siku napakua michuzi blog lakini sijawahi kukutana na taarifa za mapambano ya kuiokoa nchi yetu. Kila siku yeye na wasanii, kama ni habari za siasa utakuta ni chama cha ccm tu. JE YEYE BLOG YAKE HAITAKI MABADILIKO HAYA TUNAYOYAONA JAMII FORUMS INAYAPIGANIA?
   
 2. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Kumbuka vita ya 99% vs. 1% haiko USA tu. Ndivyo dunia yote ilivyo. Kati ya 99% kuna wabeba mifuko ya 1% - hao uwambii kitu wakasikia. Hata Kanali kule Libya alifurumushwa nao kutoka katika makavalti. Yuko Tanzania - ni mbeba mifuko ya 1%.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,723
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia magamba wanataka mabadiliko?Yeye ni mpambaji wa magamba wala si mpambanaji wa kuleta mabadiliko, yeye amefika hapo alipo.
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  basi kama mambo yenyewe ndo hayo anayofanya tuna kazi ngumu sana kuhakikisha democrasia ya kweli inapatikana!
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Zamani alikuwa anaonekana. Lakni baada ya kugundua kuwa humo Jf hakuna kitu bali, majungu, wivu, chuki, hasira, kashfa, uchochezi na fikira potofu kwamba maendeleo yakapatikana kwa kufanya migomo, maandamano, kashfa kwa serikali , watu kutafuta umaarufu bila kutokwa jasho, akaamua kutupuuza. Sasa kama kila siku mambo ni yale yale: Polisi wameua, Lema shujaa, CCM kwishne, Jk kashindwa kazi, hakuna kulala mpaka kileleweke na mengine mengi ambayo hayana tija kwa mstakabali wa Tanzania unategemea kweli ISSA MICHUZI aweke mambo hayo kwenye blog yake. Tubadilike humu ndani.

  Nasubiri matusi zaidi, kutoka kwenu, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba hizo siyo njia sahihi za mabadiliko.
   
 6. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  We nahisi utakuwa ndiye michuzi mwenyewe. Kama unajua kuwa JF kuna hayo yote ni kipi kinachokufanya uwe unaingia humu?
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hivi bado unaipitia hiyo Blog...duh kweli watau tupo tofauti sana
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,061
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  mh..gamba libadilike?...kwanza aanze na kutoka kwenye blog..na aifanye tovuti kamili...
   
 9. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unafanya nini humu sasa? We siutuache na mambo yetu? Ungekuwa msichana ningesema nataka sitaki tamu hiyo
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,998
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Njia za mabadiliko ni zipi sasa hebu tuambie?au ni kuwasifia majizi wa keki ya taifa?ni kuisifia serikali iliyoshindwa kazi?au ni kusifia wanaohongwa suti na wao kutoa ardhi yetu?au ni kuwasupport wawekezaji kupora ardh yetu,kuiba madini,kuondolewa kodi wakati sisi wenye mitaji ya nyanya tunakamuliwa mpaka damu,na wakati mwingine kuporwa kabisa vimitaji vyetu?hebu chagua jibu moja kati ya hayo ili nikujue jinsi ulivyo.
   
 11. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi kwa mfano huko kwa michuzi huwa siangalii kabisaaaa kama vile nilivyojipiga ban clouds fm
   
 12. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  try to understand "decentralization" kama wote wakitujuza kuhusu siasa vingine tutavujuaje?? acha wanamichezo watujuze michezo kwny bllog zao mf shafih dauda, muziki mf djchoka,michuzi nk, SIASA mf kulikoni ughaibuni, chini ya carpeti, MAHUSIANO mf dina marios,penzi la kweli....
   
 13. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Pariphosa, kwa hiyo habari za CCM siyo siasa?
   
 14. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Ina maana ni kada?
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sikumbuki ban niliyojipiga kwa michuzi itaisha lini.
   
 16. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Well said Thatha:
  Inawezekana hapaJF uliloliona ni hilo.Mimi si mpenzi wa blog ya michuzi, but hata kama hayo uloyasema ndo daily activities za humu ndani, nilidhani badala ya kuwa passive tunaweza kujenga nchi kwa kuwa objective. Binafsi nachukia tabia za watu kuficha vichwa nyetu kwenye mchanga kama mbuni. La msingi target sio michuzi peke yake, bali blog zote, ni vema kujaribu kuibua mambo magumu ambayo si lazima kuisema serikali pekee - bali hata ku-challenge hulka na silka za watz walio wengi.
  Yumkini zipo njia nyingi za kuleta mabadiliko (matusi si njia mojawapo) lakini basi tunaweza kuleta mabadiliko si kwa kusifia hata pale tunapokuwa na ushahidi kuwa sifa zinapotolewa pasipostahili umharibu mpotoshaji badala ya kumjenga!!! rafiki wa kweli ni lazima aweze kuwa na uthubutu wa kukuambia 'kaka ....hapa umeboronga'!

   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ungeenda kuandika kwa MiCHUZI basi.......mbwiga uso rizki.
   
 18. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Lazima tukubali kwamba fikra zinazokinzana ni ishara ya watu wanao fikiria kwa uhuru. JF inamkusanyiko wa fikra nyingi zaidi ya unazotaka tuone kwamba ndizo zilizotawala. Hapo kwenye nyekundu nahisi umeshaonyesha kujihukumu mwenyewe..
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Sasa kama umeona huku hakufai unafuata nn? waume au?
   
 20. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwani Salva bado hajampa kazi ya kuwa mpiga picha mkuu wa Ikulu
   
Loading...