TIGO haya ndio Malipo ya Ofa yenu?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,036
Leo mmetangaza ofa, asanteni ila nimepata problem ya kutuma sms, hakuna inayotoka! Na ni lazima nitume sms hizo. Kweli nimekua disappointed sana na hawa viumbe! Nimeamua kutafuta line yangu ya Kizanzibar. Tigo this isnt fair! Hebu ondoeni hio ofa yenu isiyo kuwa na maana kwanza sijajiunga nayo!
 
haswaa bado wanatuletea masuala ya Kisen.ge wanatangaza offer halafu ukiingiza vocha haikubali kuingia.
 
Yaani asa ivi hata simu hazitoki.......Tigo this is too much
 
Yaani asa ivi hata simu hazitoki.......Tigo this is too much!!
 
Hivi bado kumbe mpo mnaotumia tigo? Mbona tulitangaziana humu ndani kuanza mgomo usio na kikomo kuwasusia hawa mapunga?
Mbona tunaangushana jamani. Kumbe ni mimi tu niliyetupa line yao?
 
Hivi bado kumbe mpo mnaotumia tigo? Mbona tulitangaziana humu ndani kuanza mgomo usio na kikomo kuwasusia hawa mapunga?
Mbona tunaangushana jamani. Kumbe ni mimi tu niliyetupa line yao?

Mbona Mpwa sikuiona hio PETITION? na mimi kila uchao nipo hapa kijiweni, yaaani nimeamua kutafuta ile ya kizanzibar!!!
 
Mbona Mpwa sikuiona hio PETITION? na mimi kila uchao nipo hapa kijiweni, yaaani nimeamua kutafuta ile ya kizanzibar!!!

Ipo kwenye Tech, Gadget &Science forum, mimi si mtaalam wa maswala haya ya IT ila najua wataalam wanakuja wataileta hapa. Lakini ni kama 5-7 days zilizopita, tena tulijadili vya kutosha na kukubaliana kuachana nao.
 
Thanks na mimi kuanzia muda huu natupa line yao! I am fed up na upuuzi huu! Natafutwa na My wife wangu nashutumiwa kuzima simu! Pumbaf kabisa
 
Na huduma yao ya kuiga; tiGopesa network haipatikan cku nzima "csh..ak:vd(ks_gaf*dj#xv zao!
 
Thanks na mimi kuanzia muda huu natupa line yao! I am fed up na upuuzi huu! Natafutwa na My wife wangu nashutumiwa kuzima simu! Pumbaf kabisa

Mwanangu hii post nataka nimwonyeshe shemeji yako maana kesi zetu zinafanana yaani jumba langu linaungua kwa sababu ya hawa kameruni!
 
Mwanangu hii post nataka nimwonyeshe shemeji yako maana kesi zetu zinafanana yaani jumba langu linaungua kwa sababu ya hawa kameruni!

Heri yako umepata utetezi kwa kupitia post yangu, mimi lazima niwatafute TIGO wanilipe SMS zangu na loss niliyoipata kwa kushindwa kutuma sms ambazo zilikua ni muhimu saaana, ni muhimu sana na nipo serious! Najua wanakatangazo kao hapa chini, naomba wanijibu!
 
Mwanangu hii post nataka nimwonyeshe shemeji yako maana kesi zetu zinafanana yaani jumba langu linaungua kwa sababu ya hawa kameruni!

Jamani naombeni mnisaidie SMSCENTER ya Tigo maana hakuna sms inayotoka na pesa zangu wanakula tu
 
hata mimi nilikutana na hali hiyo. Aliyelipa lile tundu la kutolea uchafu jina la TIGO hakukosea kabisa

Duh! hii kali naomba nisaidie sms center yao nijaribu ku-activate tena hii yangu! kwahio Tigo kumbe ni tusi eeh
 
tuma sasa zinaenda. Center no.yao nadhani ni 0713800880

Yeah zinaenda nadhani tatizo haikua kwangu ni wao wenyewe, sasa nauliza je watanilipaje usumbufu walionisababishia tangu jana? SMS nilizokuwa nimezilipia watazirudishaje? Kikao nilichotakiwa niwaarifu wajumbe nimechelewa hadi nilipotafuta line ya mtandano mwingine, watanilipaje? au na mimi niwatukan.....! Naogopa Mungu.
 
Back
Top Bottom