Vyandarua vya msaada ni mbinu ya kuwaandaa wanaume ili wacamerouniwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyandarua vya msaada ni mbinu ya kuwaandaa wanaume ili wacamerouniwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtoto mzee, Nov 11, 2011.

 1. m

  mtoto mzee Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi vyandarua vya msaada vinavyopunguza nguvu za kiume, nimegundua ni mbinu ya kupunguza ama kuondoa marijali Tanzania na Africa, ili lengo la Cameroun la kuwahalalisha wanaume waolewe litimie. ......Tafakari..........Chukua hatua.
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Dogo umevamia, hili ni jukwaa la great thinkers.

  Kama vipi kakojoe ukalale.
   
 3. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hayo nimawazo potofu kama wewe unahisi hivyo siyo lazima ulalie vyandarua vya msaada madukani kuna nyandarua kutoka nchi mbalimbali nunua. Acha kuambukiza ulembukeni kwa watanzania wenzako.
   
 4. jakirogo

  jakirogo Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  una haki ya kufiri hivyo
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Kaonane na madaktari usisingizie chandarua, una matatizo yanahitaji tiba ya haraka, huo ni ushauri wa bure.
   
 6. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wacheni kumkalia kooni huyo dogo.Jiulize hivi watanzania ni maskini wa kushindwa kununua vyandarua wenyewe?.Miaka inavyokwenda mutamkumbuka huyu kijana.
   
 7. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo na wewe unaamini anachosema huyu dogo?
  Hivi unajua pathophysiology ya kupoteza nguvu za kiume? Hivi kwanza unamaanisha impotency au infertility? Hivi ni kwa nini watu hamuoni aibu kuonesha hadharani ufinyu wenu wa kufikiria? Au kwa sababu hatuweki majina yetu humu?

  Acheni uvivu wa kufikiri. Nendeni mka google muone kama kuna dawa yoyote inayoweza kutiwa kwenye chandarua ikaleta madhara hayo mnayotutangazia hapa.
   
 8. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe unaamini sana google.Ukweli wa kuona mwenyewe ni bora kuliko kusubiri uambiwe na google.Kwa maana hiyo mwenye kuamini google ndiye mvivu zaidi wa kufikiri.

  Hii leo ukiingia kwenye Google hutoweza kuona sababu ya UN na NATO kumpindua Ghadafi na mengine mengi.Jee wewe kwa akili yako unaamini Ghadafi alikuwa muuwaji zaidi kuliko Bush?.Ukiamini hivyo bora hilo jina lako halisi tusilifahamu kwani utaona aibu kutembea mitaani.

  Mimi binafsi siamini kwamba vyandarua vya Bush ndio dawa ya malaria wala siamini kwamba hii ni huruma ya Amerika bali kuna jambo.
   
 9. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kwa karne nenda rudi, misaada yote inayoletwa katika nchi zinazoendelea imeshikizwa na maslahi ya nchi zinazotoa. Yanaweza kuwa maslahi ya Kiuchumi 9kupata urahisi wa mali ghafi n.k.), Kijeshi (kupata sehemu za kuweka majeshi yao n.k.

  Kitaaluma (kufyonza elimu fulani n.k.), Kisiasa (kuulinda utawala ulioko madarakani n.k ). Sasa sisi tutafakari kuwa tumepewa msaada wa vyandarua milioni 15, kila kimoja bei yake ni Shs 5,000 hivi, jumla Tshs billioni 95 hivi au US $ 47 millioni.

  Kiasi hiki cha pesa Tanzania haishindwi kutoa zake na kununua, ni bei ya kilo 26 tu za dhahabu, kumbuka Tanzania inazalisha tani 42 hadi 48 (Kilo 42,000 hadi 48,000) za dhahabu kwa mwaka ila tu kama Mwl Nyerere alivyoasa huko zamani, kupanga ni kuchagua.

  Based on ongoing projects and developing mines, Tanzania's estimated gold reserves have been calculated at a conservative proven gold reserves in excess of 36 Moz (1000 t). Tanzania Gold Mining
   
 10. o

  onxy Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We endelea kubisha kaka,
   
 11. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hili sasa neno, Kweli watuambie conditions walizopewa behind these nets. Ila sio hoja ya nguvu za kiume sijui zimefanya nini ambayo haina validit kitaalam.
   
 12. m

  mtoto mzee Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maneno yangu mhenga utayakumbuka siku utapozungumza kwa kutumia NGELI.
   
 13. m

  mtoto mzee Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani wewe ndo huna na hujui critical thinking! Huwezi kubisha pasina kuwa na sababu ya kujitetea. Endelea kutumia vyandarua hivyo. But nimekualarm kwa manufaa yako.

  Kasome historia America ilitumia mbinu gani kutokomeza malaria, je walitumia net? .....then Tafakari na uchukue hatua......
   
 14. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  Sijui kuhusu hilo la nguvu za kiume ila tangu technolojia ya vyandarua vya dawa ilipoletwa nchini na kuambiwa eti hata ukifulia dawa haitoki na inaua mbu kama kawaida sikutamani na wala sijawahi tumia vyandarua hivyo.
   
 15. m

  mtoto mzee Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni miaka mitano! Hata kwa akili ya kawaida tu, hapo lazima iwe na madhara tena makubwa tu.
   
 16. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  spray je?
   
 17. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kweli ndo make mi cjawai kutumia chandarua chochote n feni tu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Chochote kinavyofanywa na serikali ya magamba ni mbinu hakina nia njema na raia bali maslahi binafsi
   
Loading...