Uigizaji unalipaeeeeeee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uigizaji unalipaeeeeeee!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Nov 12, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naam niko huku kanda ya kaskazini.
  Niko ofisi fulani hivi! Nashangaa wingi wa vijana nikajiuliza kulikoni! Eti wanajiandikisha kuwa waigizaji! Loh tena wanalipa ada ya kujiandikisha! Shs kila mtu 20,000. Hivi huu uigizaji unalipa sana sio ama ni nini sasa.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kaka hapa ni jukwaa la siasa usituletee upupu wako watu tuna machungu na unyanyasaji unaotoke mbeya na sehemu nyingine tanzania
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  wengi ni wa jinsi gani hebu tujuze!
   
 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ooooooooooooh Kumbe HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO ni jukwaa la siasa. Poole sana kwa uchovu.
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Baba kuna akinabeijing wadogowadogo wote wanajitahidi kuvaa suruali za mpira ili masaburi yatokeze! Kuna wavulana pia wengi wamevalia suruali kama sio nusu basi chini ya masaburi.
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  bwana we!
  Hata nisiseme uchovu ni mauzi tu hata sikujua niki wapi.ntarudi baadae maana sasa ivi sipo sawa na topic kama yako wakati wananchi wenzetu wataabishwa na serikali yao.baadae
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Vijana hawana ajira, kwa hiyo kila dili inayokuja mbele yao wanaichangamkia.
   
 8. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,709
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  Mmh sio mafataki na makameruni wana recruit vitu vipya? Maana hivyo visitiri mwili walivyojitupia kwa mujibu wa mleta hoja inani shughuli akili
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  inawezekana kukawa kuna mahela huko. Nalog off
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wakike mkuu
   
 11. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WEMA SEPETU Alidai toka 2008 kaigiza filamu 10, na kumuingizia jumla ya milioni 25, sa piga hesabu ka zinalipa au la..
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kumbe filamu huchukua muda mfupi hivyo? Kutengeneza movie nijuavyo mimi huchukua zaidi ya mwaka kama sio 2 na kuendelea. Katika maisha yangu ya kufanya shooting sikuwahi kufikiaria hivyo. Hizi ndo zile movies ambazo staring anakufa anaibukia movie nyingine.
   
 13. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kwa sanaa hii ya bongo au alikuwa na biashara nyingine?????
   
Loading...