Katika siku za hivi karibuni kumeibuka shutma kubwa ya serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete kufilisika, kigezo kikubwa kilichotumika na baadhi ya watu wanaohalalisha kufilisika huko ni serikali...
Thread hii ni summary ya makala ambayo niliitoa kwenye gazeti la Rai wiki kadhaa zilizopita. Aidha, makala hiyo ilikuwa ni matokeo ya informal survey ambayo nilipata kuifanya siku za nyuma.
Kwa...
Kundi la wabunge kutoka vyama mbali mbali vya siasa nchini Uingereza limetoa wito wa kufunguliwa mashtaka dhidi ya mtu yeyote aliyehusika katika kashfa ya ufisadi na rushwa kuhusiana na mauzo ya...
Ndugu zangu watanzania,
Tunapoendelea kutafakari mustakabari wa taifa letu na pengine kutafuta suluhu ya matatizo lukuki yanayotukabili, nimeona niwashirikishe katika kutafakari mojawapo ya...
Hivi wahusika hamwoni kuwa hawa jamaa wanaoegesha taxi zao kwenye njia ya kuelekea RUCO watasababisha ajari ? Inakuwa ni shida sana kwa magari yanayoingia na kutoka chuoni hawa jamaa wanabana njia...
Kesho kikwete atahutubia taifa katika sherehe za kuhitimisha mbio za mwenge zitakazo fanyika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam.
katika sherehe hizo mwenge utakabidhiwa kwa rais halafu naye...
Friday, November 25, 2011, 7:17
Mtanzania-biashara
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited (TDL) inayozalisha pombe aina ya Konyagi, imelisaidia Jiji la Dar es Salaam vifaa...
hivi jiji kama mwanza lenye ziwa mjini linakosa maji jiji zima? Leo ni siku ya 7 hakuna maji jiji zima la mwanza,sijui nani alaumiwe? Jamani viongozi wa mwanza embu fanyeni mpango wa maji hii ni...
Heshima yenu JF.Hadi sasa nashindwa kujua wandishi wa habari wa Tanzania wanawaza kwa kutumia nini. Waandishi wa habari wapo kila pembe ya nchi yetu lakini bado wanaogopa kuongea ukweli wa jamii...
1. Ndugu zangu wapendwa, hizi pesa zinazotumika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru kwanini zisilipie wadogo zetu walio kosa mikopo ya Higher Education Student Loan Board-HSLB?.
Mnajua hii nchi haina...
Kama kweli taarifa za waziri wa mambo ya ndani ya nchi na za kamanda Kova hazikuwa za kuchakachua, zilizotiwa mafuta ya kisiasa ili kuhalalisha vyama vya siasa na wanaharakati wengine...
Kila jua lichomozapo, watu huanza pilika pilika za kuisaka shilingi pamoja na mahitaji muhimu. Kila mtu anakuwa na haraka ya kutaka kuwahi mambo yake. Ukiwa katika harakati zako unaingia bank kwa...
Muheshimiwa Sugu baada ya ile burudani uliyoitoa pale Dar siku ya tarehe 26/11/2011 sasa imebainika watu wa mikoani nao wanashauku kubwa sana ya kuipata ile ladha ya Anti-Virus uliyowapa watu wa...
Wanajf,
Hivi mama yako akikuambia kuwa baba yako alinibaka, nikapata mimba, ndo ukazaliwa wewe mwanangu X. utamkana baba yako hata kama ubakaji ni kosa la jinai? Huwezi kumkana baba yako kwa...
wanajamii, umofia kwenu!
Kuna gazeti linachapishwa nchini tanzania linaitwa uhuru. Hili gazeti halionekani kwenye meza wala sehemu yoyote ya kuuzia magazeti! Je, kwanini haliingizwi sokoni? Kama...
Aslam alekhum wanajamvi.
Hivi karibuni kumezuka tetesi nyingi sana kuhusiana na serikali yetu kuchelewesha Mishahara.
Ningependa kujua ukweli wa hili jambo kupitia watumishi wa UMMA mliopo humu...