Kituo cha taxi bubu cha NMB Mkwawa ni kero

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Hivi wahusika hamwoni kuwa hawa jamaa wanaoegesha taxi zao kwenye njia ya kuelekea RUCO watasababisha ajari ? Inakuwa ni shida sana kwa magari yanayoingia na kutoka chuoni hawa jamaa wanabana njia pande zote mbili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa hadi itakapotokea ajari, jamani wahusika amkeni ondoa hawa watu.
 
mie nadhani management ya nmb mkwawa pia wanahusika maana nao hawatoi tamko lolote, ifike mahali wahusika wafanye kazi zao kwa kufuata sheria na sio mazoea
 
Ujenzi unaondelea umepafanya mahali hapo pakose utawala unaoeleweka. Awali polisi wa benki walikua wanazuia hiyo tabia ya kupaki hovyo kwenye kona au pale container...anyway lets hope the bank will take the lead and eleviate the surely coming accident
 
mie nadhani management ya nmb mkwawa pia wanahusika maana nao hawatoi tamko lolote, ifike mahali wahusika wafanye kazi zao kwa kufuata sheria na sio mazoea

Ni kweli zamani walikuwa wakali sana lakini sasa hivi nchi hii kila idara wamelala tu, hadi tukio litokee ndio kila mmoja anakurupuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom