Ndugu zangu nimesahau. Naomba mnikumbushe jina la waziri mkuu wa sasa TZ ni nani? Jina limenitoka kidogo wadau. Anayejua anijuze haraka kuna swali natakiwa kujibu mara moja.
Wapo Mission international ya Jijin Dar ,Imeandaa Maandamano ya hisani yenye lengo la kuchangisha Tshs 500m, kwa ya kununua viwanjwa vya ujenzi wa Shule ya Maadili kwa Kizazi kipya.
Kwa mujibu...
Mapadri wanne raia wa Italia wa kanisa katoliki,wamefariki dunia ,baada ya gari walilokuwawakisafiria kupata ajali.
Ajali hiyo ilitokea jana saaa 5v asubuhi katika eneo la Ruvu kwa zola...
CDM siku zote imekuwa ikilalamikiwa kuwa na chembe chembe za ukabila,urafiki,ukwe,ukanda nk.
Mara nyingi wamekuwa wakijaribu kujibu hoja hizi bila mafanikio.
Mathalani,Mtei kamrithisha chama mkwe...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wigi analovaa huyu mama. kwa muda wote akiwa bungeni, nje ya nchi hata na wageni wake amekuwa akivaa wigi la aina moja tu ambalo kwanza halimpenezi bora hata...
Tarehe 26/11/2011 ,Jeshi la polis Limeruhusu Maandamano ya Kuchangia Mradi wa Kutoa sumu na Chuo Cha Maadili Unao Ongozwa na askofu Gammanywa wa Wapo Radio uliopo Mtaa wa Loliondo...
wadau nimesikia hapa Dar kuna matatizo sana yanakuwa makubwa, kuna watu ukienda kunywa vinywaji hasa hii ilitokea Quality Centre ni kwamba unawekewa sumu katika kinywaji
namba moja mume makini...
Ndugu zangu nianze kwa kusema mi sina undugu na Lowasa wala sifahamiani naye zaidi ya kumwona kwenye vyombo vya habari lakini nimekuwa na IMANI naye kubwa tangu zamani na nimekuwa nikiwaeleza...
Wanabodi
Nawataadhalisha wanajamvi kuna ndugu yangu amapatwa na tatizo baada ya kununua maji ya barabarani ( Uhai)
mtaa ya magomeni akiwa anaenda mwenge, alinunua chupa moja ya maji kutoka kwa...
My take. English should be official language, simply
First
Its the only language that eliminates communication barriers among people of various backgrounds ( Universality)
Second
Its lovely...
Iliwahi kuja hoja za watoto wa vigogo kupafanya BOT kama mahali pao......i come across this name from BOT Pamela Benno.....huyu mama ana uhusiano na gavana Benno ndullu? kama ni kweli basi hii...
Nape tuna hamu ya kujua kama haya yametekelezwa siku 120 ndo zimekisha
Najua bado uko dodoma kwa leo lakini utabata muda wa kutupa taarifa ya kina
kwa haya uliyoyasema mwenyewe
Nimeamua kuja...
Kwa kuangalia waliokuwa hawa kuwa viongozi wazalendo tz,je kuwa mzalendo kuna faida yoyote?serikali ya ccm inathamin wazalendo!?
1.Imran kombe
2.sokoine
3.mwakyembe
4.karume
5.H.Kolimba na...
KATIKA PICHA ALIYOIWEKA KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK NAPE NAUYE AITA CHADEMA JINA LA CHANDIMU
NA HII NI KAMA MAELEZO YA PICHA YANAVYOSEMA
Nape Nnauye
Waheshimiwa sana wabunge wa Chandimu...
MAITI YAFUFUKA IKIWA MOCHWARI YARUDISHWA KWA MADAKTARI
Mauaza uza yaibuka mjini Iringa baada ya mgonjwa ambaye alifika kufanyiwa maombi kwa mmoja kati ya wahubiri maarufu mkoani Iringa kukata...
Your mobile No. has won 415,000pounds in Nokia UK END OF YEAR Promo. For claims send your name & No. via Email to: nokiapaycenter@london.com & call +447024032938
Habari ndio hiyo. Huu ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.