Ikiwa kutakuwa na taarifa za ki-intelinsia ya kuwepo uwezekano wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya sherehe ya Uhuru wa Tanganyika kushambilwa na Alshabab, basi polisi ipige marufuku kufanyika...
Monday, December 5, 2011NDEGE YA UPEPELEZI YA MAREKANI YASHUSHWA NA IRAN
Jeshi la Iran linasema kuwa limedungua ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani, mashariki mwa nchi, na italipiza kisasi...
Haya kama kawaida yetu Tz
Tunawaambia nyie UK,kuwa hatuna nia ya kuwashitaki hawa jamaa waliopiga pesa ya rada hapa Tz,mpaka nyie mtuonyeshe mliowashitaki huko kwenu UK
Acheni watu wetu wabalizi...
Huyu Balozi Tim Clarke anawakilisha Umoja wa Ulaya hapa Tanzania. Umoja wa Ulaya ni mjumuiko wa watawala wetu wa zamani kabla hatujapata uhuru. Hata hivyo mwenendo wa huyu balozi hauonyeshi...
I was on the web browsing and luckily i saw this article.
I found it handy,please read it.
How Is Your Child Smart?
Boost your child's success by understanding his learning style.
By Thomas R...
Sadam Hussein alisifika kwa silaha ikiwemo ndege za kivita, akawekewa hiyo sanction, na haikuruka ndege hata moja. Haya hayo yakamkuta Gadhafi. Je nini hufanyika mpaka
ushindwe kurusha ndege zako ?
Wanabodi
Mzee David Wakati, amezikwa leo jioni katika makaburi ya Kinondoni.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na umati wa watu, wakiwemo mawaziri, wanasiasa, viongozi wakuu wa dini, waandishi wa...
Wana Jamii,
Mimi Kama mdau wa michezo hususani mpira wa miguu nimekua nikifuatilia kwa ukaribu michuano ya CECAFA inayoendelea hapa jijini Dar es Salaam. Ila nimesikitishwa sana na viwango duni...
Dah!! madeni yamenizonga na sasa tumeanza mwezi mwingine. Kuna yeyote ana taarifa kwa nini tumecheleweshewa mshahara?? Nasikia wengine wamepata ila sisi hata dalili hakuna, kila unayemuuliza...
Kwanza nikupongeze Jerry Muro kwa kushinda kesi yako dhidi ya Jamhuri, na baadae kujipatia tuzo ya ubora wa kazi zako na kile kilichoitwa ujasiri wako katika kufichua maovu yaliyopo ndani ya...
Naamini watz wengi bado wamepigwa na butwaa baada ya watu wa cuf waliounga mkono kwa 100% mswada wa kuunda kamati ya katiba bungeni hivi karibuni wanaenda ikulu kumuona Rais JK. Leo akiongea na...
Katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru watanzania wote tungependa kujua bajeti na matumizi ya fedha katika kila wizara idara na taasisi za serikali ilizotumia kAtika shamrashamra zote zilizofanyika...
Wakuu swali nililokuwa najiuliza sikunyingi tangia Jk aanze kuikwepa Arusha ni kama maadhimishi ya miaka 50 yangefanyika
Arusha asingehudhuria? Maana amekuwa akikwepa sana kwenda huko na...
Wanajamii, salaam!!!
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari mbalimbali vya huko nyumbani na hata mitandao ya kijamii. Katika pitapita zangu ndani ya jamiiforums, nimekutana na thread isemayo...
Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria (mawakili) hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.
Leo asubuhi nimepokea ujumbe nikiitajika kuandika barua ya kudai hela ya muda wa ziada kazini (extra duty allowance) Nimeambiwa kabla ya saa sita leo mchana niwe nimeandika barua ya madai! Swali...
nyumba mbovu nyinyi, mishahara midogo nyinyi, malimbikizi nyinyi, hivi nyinyi walimu mnajitambua kweli au kazi yenu kuwafanya wengine wajitambue. amkeni walimu kila mtu atabeba mzigo