bajeti ya kila wizara katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru watanzania wote tungependa kujua bajeti na matumizi ya fedha katika kila wizara idara na taasisi za serikali ilizotumia kAtika shamrashamra zote zilizofanyika kwa mbwembwe hii itasaidia kuondoa malalamiko ya watu wanaodai kuwa ni bora fedha hizo zingefanyia maendeleo na si kushereheka kwakuwa bungeni tunaambiwa bajeti nzima ya serikali na hapa pia tunahitaji kujua ni haki yetu kikatiba!
 
Back
Top Bottom