TZ, KENYA na UGANDA. Uwiano huu kuhusu idadi ya wanasheria unatisha

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria (mawakili) hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.
 
Mi nilidhani unasema hata madakitari au waalimu kumbe unasema hao ambao hawana maana yoyote, mafisadi wakubwa??, aahrr
 
Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.

Swali la kujiuliza ni je, hao wanasheria 2000 wanapata wateja wa kutosha na kuwafanya wawe busy? Nadhani ungejikita zaidi kwenye quality kuliko quantity. Hata hivyo ninashuku usahihi wa takwimu zako, hasa za tanzania coz naambiwa kwamba 2000 ni wale walioapishwa na kufanya kazi zao kama mawakili.
 
Rahisi sana: TZ hatuna tabia ya kushtaki shtaki na kushtakiana!, so labda hailipi kuwa mwanasheria katika nchi yetu which is quite a healthy indicator of a calm society where people settles their differences amicably out of court (just thinking aloud)!

Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria (mawakili) hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.
 
sidhani kama kigezo cha maendeleo au kustaarabika kunapimwa kwa idadi ya "wasomi katika tasnia ya sheria" hasa hawa wa kujitegemea...

zipo indicators nyingi tuu zinazoweza kuelezea ustarabu au hata maendeleo ya nchi achilia mbali hili la elimu...mbona tanzania inaongoza kwa kuwa na wanasiasa wengi kuliko kenya na uganda?..hili pia haliwezi kuwa kigezo kama lilivyo hilo la wanasheria wa kujitegemea??...

mbona sie wa tz tunaongoza kwa kuwa na machinga kibao kuliko wenzetu..hili nalo si kigezo cha ustawi wa nchi yetu?...ni maoni tu ila in a different perspective...ahahah
 
Hali hii inatisha kwa upande wa TZ, Wakati Tanzania mpaka sasa idadi ya wanasheria (mawakili) hawafiki 2000. Kenya inaongoza ikiwa na wanasheria 8000. Uganda inao 4000. Ni nini tatizo hapa waungwana.

Aaah wewe ndio umejuwa leo? Nchi haina wanasheria tangu aondoke Nyerere, EWe hujui Mikataba yote inasainiwa Magogoni. Kama kungekuwa na wanasheria tusingekuwa na mikataba hovyo
 
Back
Top Bottom