Magazeti yanayomchafua LOWASSA!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti yanayomchafua LOWASSA!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUMZA, Dec 5, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wanajamii, salaam!!!
  Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari mbalimbali vya huko nyumbani na hata mitandao ya kijamii. Katika pitapita zangu ndani ya jamiiforums, nimekutana na thread isemayo MAGAZETI YANAYOMSAFISHA LOWASSA, HAYA HAPA. Baada ya kusoma thread hiyo na kuona wachangiaji wanavyochangia, nikatafakari na nikapata swali. Nalo ni hili: Kama kuna magazeti yanayomsafisha LOWASSA basi lazima kutakuwa na magazeti yanayotumika kumchafua Lowassa. Na kama kuna wahariri wanaomsafisha lowassa basi wapo wanaomchafua lowassa.

  SASA BASI, TUTAJE VYOMBO VYA HABARI VINAVYOTUMIKA MUMCHAFUA LOWASSA KWA MAKUSUDI KABISA ILI ASIFIKIE MALENGO YAKE.
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye red hapo,
  Kila siku mnatuambia ana malengo yake, mbona hamtutajii hayo malengo? Na hata yeye mwenyewe nilimsikia akinukuliwa na gazeti moja akiwa kanisani kwamba kuna watu wanamwandama ili asifikie malengo yake? Kwani anataka afanye ufisadi kiasi gani akiupata huo Urais?
   
 3. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lowasa ni mtendaj mzur sana ambaye pia ana madhaif yake. Kila gazet lipo huru kuzungumzia ubora na udhaifu wake.
   
 4. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  hizo hela zake anazokupa zitakutokea pabaya tu!!we endekeza njaa!!kwa nini mtu mzima unashindwa tumia akili yako vizuri?
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  "wanajamiii salaam!!!
  Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari mbalimbali vya huko nyumbani na hata mitandao ya kijamii. Katika pitapita zangu ndani ya jamiiforums, nimekutana na thread isemayo MAGAZETI YANAYOMSAFISHA LOWASSA, HAYA HAPA. Baada ya kusoma thread hiyo na kuona wachangiaji wanavyochangia, nikatafakari na nikapata swali. Nalo ni hili: Kama kuna magazeti yanayomsafisha LOWASSA basi lazima kutakuwa na magazeti yanayotumika kumchafua Lowassa. Na kama kuna wahariri wanaomsafisha lowassa basi wapo wanaomchafua lowassa.
  SASA BASI, TUTAJE VYOMBO VYA HABARI VINAVYOTUMIKA MUMCHAFUA LOWASSA KWA MAKUSUDI KABISA ILI ASIFIKIE MALENGO YAKE"  Usiwe mjinga kama Lowassa aliyemuomba eti mwalimu nyerere aende akamsafishe kwa wapiga kura wake!unadhani kwa nini alimuomba mwalimu "akamsafishe"?wewe huko kwenu mtu akiwa msafi ana safishwa tena???sasa unadhani kwanini mwanaume wako wa shoka Lowassa aliomba kusafishwa kama ni msafi kiasi hicho unachofanya jitihada ili nasisi tuwe wajinga kama wewe na lowassa wako kuamini lowassa ni msafi,haiwezekani kumchafua mtu ambae tayari amejichafua mwenyewe kwa tamaa zake za utajiri,swahiba wake aliposhika madaraka alimpa opportunity mwenyewe akai abuse,sasa mnahagaika nae wa nini na mpaka wapi?
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Who is Lowassa hapa Tanzania? Unamzungumzia yule muhujumu uchumi wa taifa, mwizi wa rasilimali za watanzania? anyway who cares about Fisadi kama Lowassa?
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Dawa ya wahujumu uchumi kama wakina Lowassa ni hii [​IMG]
   
 8. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ktk lipi,Tueleze na malengo yake pia utueleze acha bla bla.hata Jk watu wanaoeleza kama wewe walikuwa wengi kuliko wa Edo.
  :mvutaji::A S 114:
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kusikia mtu akishtakiwa kwa kuua maiti. Lowassa anachafuliwaje wakati yeye mwenyewe ni uchafu? Kama nia ilikuwa ni kuanzisha thread ili iende parralel na ile ya magazeti aliyoyweka mfukoni then this is a wasted effort that will not see the light of the day.

  Aliye msafi hawezi kutumia fortune kununua ufuasi na hata waandishi ili wafiche yale mabaya wanayoyajua kuhusu yeye. Kamwe urais haupatikani kwa kuficha mabaya yako, ambayo hata hivyo jamii mnayojaribu kuificha inayafahamu sana kuliko hata hao waandishi. Mtateseka sana mwaka huu na kaniki itabaki na rangi yake!
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lowassa hakuwahi kuwa mtendaji bora pale ambapo hakuna maslahi binafsi. na Utendaji bora ni kutoa broadsides na kudhalilisha watendaji wake? Hizo siasa za kinyapara atuondolee hapa. Zilikufa na Dr. Kleruu!
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mtu mzima hovyo mada yako ime kaa kitaarab taraaab,taja wewe unavyovijua na isiwe kwa edo tuu
  taja na vya JK,SLAA,WASSIRA n.k
  ukweli utabaki kuwa ukweli acheni kutumika kama kondom mwisho wa siku atawatupa wakati keshapiga bao
  think twice!!!!
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  You couldn't be more candid brother!
   
 13. M

  Mzee Madoshi Senior Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Very interesting thread, Inamaana hakuna hata mwandishi mmoja au gazeti mojawapo katika yote yaliyosajiliwa wanapewa PESA ili kuandika habari za kutunga za kumchafua EL? Chemusha bongo kwa watu wanaomuunga mkono EL ni kujiuliza kama huyu kipenzi chao ni mchafu, je kachafukaje? Na kama ni 'msafi' basi mwenye afya njema hamuhitaji Daktari. Tuchukulie amechafuka, na kama sio magazeti yaliyomchafua, kujisafisha katika magazeti si ni sawa na kumvalisha suti mpya ya bei mbaya mtoto aliyetapakaa mavi kabla ya kumuosha kwanza. Hiyo haijalishi mavi hayo kajipaka yeye au kapakwa na mama yake aliyemzaa. Hii inanikumbusha methali moja maarufu isemayo "Kwenye ukweli uongo hujitenga".
   
 14. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ufisadi ndio unao mmaliza hata mumsafishe vipi hatakati huyu.
  Ukiongelea tu ufisadi picha kubwa ya L inakujia usoni .Huyu ni hatari kwa TZ
   
 15. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kila mtu ana malengo yake, hata EL si makosa kama akiwa na malengo yake. Anaweza kuwa na malengo ya urais, si dhambi kwani ana sifa zote zinazotakiwa kikatiba. Pia anaweza kuwa na malengo ya kuuthibitishia umma kwamba yasemwayo na yahubiriwayo mitaani dhidi yake kuwa si sahihi. Yote yanaweza kuwa ni malengo yake
   
 16. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kumbe hao mnaowasifia na kuwapigia chepuo ni kwa kuwa mnategemea 'chochote' kutoka kwao. Kama ndio hivyo, nchi imekwisha. kila mtu ana mawazo ya kifisadi fisadi
   
 17. m

  mapinno Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yeye kama kiongozi wa serikali bungeni aliyepita tumeona utawala na ufanisi umekuwa ukishuka katika serikali baada ya yeye kujiuzulu.. sasa ni busara tuendelee na siasa za kuangalia nani mtoto wa mkulima badala ya yupi anaweza kazi? tubadilike na kuwa output oriented badala ya input oriented.
   
 18. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ungesema magazeti yaliyokuwa...yaliyokuwa yanamchafua. Kwa kwa sasa hayopo tena. Yote yanamsifu.
   
 19. L

  Lsk Senior Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rich from Monduli aka. Ricmond!!
   
 20. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kweli kazi ipo yaani wewe bila lowassa huwezi kusimama peke yako ukafanya mambo ya maana? hivi siku lowasa ikifa ndiyo basi maisha ya watanzania nayo yatakuwa yamezikwa? acha kujifariji na mambo ya kusadikika. mimi nakuona kama wewe unafaa zaidi yake, wewe unalionaje hilo?
   
Loading...