Kama maadhimisho ya miaka 50 yangefanyia Jk asingehudhuria?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Wakuu swali nililokuwa najiuliza sikunyingi tangia Jk aanze kuikwepa Arusha ni kama maadhimishi ya miaka 50 yangefanyika
Arusha asingehudhuria? Maana amekuwa akikwepa sana kwenda huko na anapotakiwa kufanya mikutano alituma mwakilishi.
Je ktk hili angefanya je?
 
Kweli anatakiwa asionekane hata! Angetakiwa aende huko kwa cameroon ampelekee jamaa mzigo wake.
 
Unahalalisha uongo ati JK haendi Arusha?!, umesahau kuwa last weekend alikuwa Monduli kutunuku vyeo vya maofisa wa jeshi?!

Back
Top Bottom