Walimu poleni sana

abam

Member
Nov 10, 2011
65
13
nyumba mbovu nyinyi, mishahara midogo nyinyi, malimbikizi nyinyi, hivi nyinyi walimu mnajitambua kweli au kazi yenu kuwafanya wengine wajitambue. amkeni walimu kila mtu atabeba mzigo
 
Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k.

Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao.
 
IQ yako ni below 70 kwa hiyo upo kwenye kundi la mental retarded na katika kundi hilo upo kwenye profound mental retardation!
 
Acha kuwadhalilisha waalimu. Waalimu wangapi wanamilki nyumba nzuri, magari, pikipiki n.k.

Wote wanalia shida, ni wale wenye akili kama zako. Wasiojuama nafasi ya mshahara ktk maendeleo yao.

unajita mzee inawezekana umezeeka mwili tuu akili bado ya mtoto mdogo sana
 
Twende kwetu uchagani nikakuonyeshe jumba cio unaandika uharo 2 hapa we kilaza kuwa walim wanaish kwnye nyumba mbovu!
 
Walimu wenye akili kama za SEMAKO hawana taaabu ya pesa,we kaa tu shuleni pesa zitakufuata.
 
Back
Top Bottom