Hatuwashitaki ng'o -issue ya Rada hata mlie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuwashitaki ng'o -issue ya Rada hata mlie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Dec 6, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya kama kawaida yetu Tz
  Tunawaambia nyie UK,kuwa hatuna nia ya kuwashitaki hawa jamaa waliopiga pesa ya rada hapa Tz,mpaka nyie mtuonyeshe mliowashitaki huko kwenu UK
  Acheni watu wetu wabalizi na pesa kiduchu ya rada ebooooo


  hahahahaha,Tanzania zaidi uijuavyo bana
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sio maneno yangu jamani ni maneno ya Waziri husika,mie simoooooooo
   
 3. KASSON

  KASSON Senior Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hamtapata maendeleo ng'o
   
 4. KASSON

  KASSON Senior Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chika naye labda yupo kwenye pay ... Ya mafisadi.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tukishitaki tukishindwa hizo sent hazitoshi kulipa fidia.
  zile za epa zilifisadiwa sembuse hizo za wazungu?
   
Loading...