Kweli dunia inapotezwa muelekeo wake na watu wachache wenye uwezo wa kupaza sauti zikasikika dunia nzima hasa nchi tajiri za jumuia ya madola hasa uingereza kutetea haki za mashoga pia...
Yaani nimekaa nikaangalia pande zote za hii Tanzania, ila bado sijaelewa hiyo kesho hiyo sherehe itakuwa vipi, maana ni kubwa eti, waisije wakaleta mambo ya hotuba tu, sherehe ni watu na watu ni...
Cancer Victim: Why I Went Abroad To Die
By Thomas Moore, health correspondent | Sky News
A woman who travelled abroad to die has told Sky News that politicians denied her the dignity of ending...
i mean kanda ya kaskazini na sehemu zote zenye vivutio vya utalii..hii sekta ndio inaongoza kwa kulipa taifa mapato...im not kidding..siongelei AR tu hata circuit ya kusini pia.tano
Haya ndo majina{first eleven} ya viongoz wetu kwa kimombo
1.JOHN POMBE MAGUFULI=JOHN BEER LOCKS
2.ZITO KABWE=HEAVY KABWE
3.UKIWAONA DITOPILE=IF YU SEE THEM DITOPILE
4.SHUKURU KAWAMBWA=THANX...
Samahani sana wana jamvi.
Nimeamua kuanzisha kampeni ya kuchukua RUSHWA kwa watoa huduma wote kuanzia wale wa umma na wale wa sekta binafsi. Sababu za kuhamasisha kudai rushwa ni:-
(i) Kupambana...
kuna wakati hawa jamaaa waliitikisa nchi na ile issue ya waraka.
hivi ni nani na nani wapo nyuma ya hii jumuiya?
Ushawishi wao ktk maswala nyeti ya kitaifa ni wa kiasi gani?kwa maslai ya nani...
Hillary Clinton declares 'gay rights are human rights'
The US has publicly declared it will fight discrimination against gays and lesbians abroad by using foreign aid and diplomacy to encourage...
Kinacho ni shangaza ni kwamba wabunge kila siku wanalilia posho, je wako bungeni ili kujenga ma ekalu? kuendesha magari ya thamani au kuwakilisha wananchi wao?
Kwa nn wasiwe na mishara ya...
Wakuu siju kama hii imeshawakuta, jana baada ya kutoka kazini kwangu nilipitia super market moja maeneo ya hapa jengo la ccm mkoa hapa Arusha majira ya saa 1 usiku katika kutaka kununua mahitaji...
Watanzania mnashangza sana, mnashindwa kuelewa kuwa posho za wabunge zimeongezeka kutokana na ukweli kuwa wao walikuwa wakilipwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na watumishi wengine wa serikali...
Baada ya wabunge kujifikiria wao wenyewe na kujiongezea posho,huku watumishi wengn wakbaki na maisha duni bila mtetezi je!
1.wogome actively
2.wagome passively
3.wazidi kusuburia.
Napendekeza...
WanaJF wenzangu mambo vp? natumai mu wazima.Kama mnakumbuka vizuri kwa siku kama tatu zilizopita niliwasilisha hapa mjengoni juu ya suala zima la upatikanaji wa chaneli zote za hapa tanzania kwa...
Nimeshuhudia mara kandaa mijadala yanye mlengo wakidini ikipata nafasi kubwa kuliko mijadala yakitaifa.
Utafiti mdogo nilioufanya nimegundua ""miaka ya hivi karibuni"" mwamko wa waTZ kuzungumza...
@salvarweyemamu
@daudibalali
GTs hizo account mbili nashindwa kuzielewa. Salva anaiponda serikali na ufisadi kupitia hiyo account yake.
Cha ajabu zaidi ni huyo jamaa anaeitwa Balali, anadai...
Source clouds fm
Lori lililobeba ng'ombe likitokea morogoro kuelekea dsm limegongana na basi la abiria na kusababisha vifo vya watu. 10. Hapo hapo....tupeni updates mliopo eneo la tukio
Baada ya Muswaada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 umekua sheria baada ya raisi Kikwete kutia saini. Sasa chakunishangaza ni kua Kikwete anauliza eti mwenye maoni kuhusu muswaada wa...