Loawasa chukua nchi uijenge Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loawasa chukua nchi uijenge Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Dec 7, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  i mean kanda ya kaskazini na sehemu zote zenye vivutio vya utalii..hii sekta ndio inaongoza kwa kulipa taifa mapato...im not kidding..siongelei AR tu hata circuit ya kusini pia.tano
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  I doubt it!
   
 3. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,444
  Likes Received: 10,653
  Trophy Points: 280
  kwani alivyokuwa PM alishindwa kutekeleza hili?
   
 4. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  sahau na ushindwe kwa jina la bwana......
   
 5. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Si SAINT IVUGA ninaemjua mimi, hope kuna msela kaiba password yake na kuandika upupu huu. Kama ni wewe mwenyewe Ivuga basi ninawasiwasi na huenda yale mabilioni ya EL yamekufikia mtu mzima
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe kama umeonjeshwa viposho vya ufisadi vya kampeni kapige vijijini kwani humu JF watu wote wana uelewa wa kutosha, hutambadili mtu.
   
 7. s

  semako Senior Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani Tanganyika ni Arusha tu acha ukabila chizi weeeee
   
Loading...