Hivi Raisi Kikwete Anaongoza Nchi Ipi?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Baada ya Muswaada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 umekua sheria baada ya raisi Kikwete kutia saini. Sasa chakunishangaza ni kua Kikwete anauliza eti mwenye maoni kuhusu muswaada wa katiba anaruhusiwa milango iko wazi! Hivi hili swali alitakiwa aulize kabla ya kuusaini au baada ya kusaini? wakuu naomba msaada wa hili swali isije kua Jk hajui anaongoza nchi ipi! Nawasilisha.
 
Hahahaha namcheka huyu jamaa nchi inaongozwa na kila mtu anayempa wazo na hana uwezo wa kuyachuja. Aliwaambia chadema kuwa mawazo yenu mazuri sana ila nisiposign waliopitisha muswada watanionaje? Akasign hata hajui ulikuwa wa nini yaani hajasoma.
 
Hiyo ndo style ya maamuzi wa viongozi wa siku hizi nchi hii!

Pole baba!
 
anaongoza Tanzania nchi yenye rasilimali nyingi lkn watu wake maskini
 
anaongoza nchi ya 3 duniani na ya 2 Africa kupewa misaada mingi, lkn ni masikini ya kutupwa.
 
Aaaah kumbe mnaulizia Rais wa Bongo? Si anaongoza Bongo jamani?
 
Nchi ambayo haijulikani kama ni shirikisho, muungano au muunganiko!!!
 
Wanadamu hamna jema, majuzi CDM mlikuwa mnalilia, leo JK kawapa nafasi ya kutoa maoni, HAMTAKI, nyie mwataka shari tu. Watanzania tutawapotezea mwakani uchaguzi serikali za mitaa
 
Baada ya Muswaada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 umekua sheria baada ya raisi Kikwete kutia saini. Sasa chakunishangaza ni kua Kikwete anauliza eti mwenye maoni kuhusu muswaada wa katiba anaruhusiwa milango iko wazi! Hivi hili swali alitakiwa aulize kabla ya kuusaini au baada ya kusaini? wakuu naomba msaada wa hili swali isije kua Jk hajui anaongoza nchi ipi! Nawasilisha.

labda ya kule kwa kwenye bembea na safari za nje kwani hivi bado ni waziri wa mambo ya nje ama ni raisi kwani safari zake za nje ni nyingi kuliko hata za waziri wa mambo hayo na pia amawezesha tanzania kuwa ya tatu katika nchi omba omba kwani kila anapozungumzia suala la maendelea anajua njia ya kutekeleza ni kwa kuomba wahisani hivyo hata hii sheria si ajabu imeletwa na wahisani

ha ha hah
 
Back
Top Bottom