Super Market na Sukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super Market na Sukari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Dec 7, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wakuu siju kama hii imeshawakuta, jana baada ya kutoka kazini kwangu nilipitia super market moja maeneo ya hapa jengo la ccm mkoa hapa Arusha majira ya saa 1 usiku katika kutaka kununua mahitaji yangu nikaona wacha ninunue na sukari angalau kilo tano,

  chakushangaza nikaambiwa nikinunua sukari kilo moja inanibidi ninunue na kitu kinginge cha shilingi 1500 kwahiyo namaanisha kilo moja ya sukari inauzwa 1800, itanibidi ninunue na hitaji lisilozidi au na kuendelea shilingi 1500 na ni kilo moja tu ndio nitapewa, mimi nikasema sasa nataka kununua kilo tano akatoka jamaa mwenye duka nakuniambia aisee kama ni hivyo itanibidi ninunue vitu visivyopungua 30000, nikauliza kulikoni wakasema ni amri yakutoka kwa balozi! Basi nikaghairi na kwenda zangu mtaani.

  Nilipofika mtaani nikasimama kwenye duka lililo jirani na nyumbani nikaona sukari pale ipo na bei ya kilo moja bei ni kama ileile niliyoikuta pale super market, nikamuuliza mwenye duka naweza pata kilo tano? jamaa akasema kama unahela kwanini nisikuuzie? basi nikanunua kilo zangu tano kwa bei ileile na kuishia zangu mtaani.Basi haya ndio mambo mseto toka hapa Arusha sijui kama hii kwenu wenzangu ilishawakuta.
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu,jengo la ccm super market ipi? ya kwanza au ya pili,ile ya kwanza kwanza wanauza vitu vyao expensive sana compare na hiyo nyingine
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hauruhusiwi kutoka na zaidi ya kilo tatu
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wewe kwenye majengo ya CCM unatafuta nini jamani?
   
 5. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tanzania hakuna super market kuna super shops tu...
   
 6. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole sana kaka
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ndalo nikweli kabisa ndiyo kinachofanyika kwenye supermarket hiyo nilishawahi kwenda hapo wakaniwekea mashariti hayo niliondoka nikaenda kununua dukani kwa 2000 kwa kilo halafu jamaa wana nyodo kishenzi niliapa kutokukanyaga supermarket hiyo..
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheeh Uswahilini bana!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu hii siyo uswahilini..halafu hiyo super market ukienda na 10000 halafu ukachukua kitu cha chini ya 5000 watakwambia hawana chenji ukatafute...
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Inaitwaje hiyo Grocery?
   
Loading...