Jumiya ya madola inapotosha maadili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumiya ya madola inapotosha maadili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AWADHY, Dec 8, 2011.

 1. AWADHY

  AWADHY New Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli dunia inapotezwa muelekeo wake na watu wachache wenye uwezo wa kupaza sauti zikasikika dunia nzima hasa nchi tajiri za jumuia ya madola hasa uingereza kutetea haki za mashoga pia hawajaishia hapo wanataka hadi kuzilazimisha nchi changa kukubali kwa kuzitishia kuzinyima misaada, marekani nayo imeunga mkono kwa kutenga fungu maalumu kwa ajili ya kampeni za kulinda na kutetea haki za mashoga. Ikumbukwe ile histolia ya sodoma na gomola kabla hatujafanya maamuzi magumu.
  Mimi mwandishi wenu;
  AWADHI CHANG'A
   
 2. M

  MR NDEE Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  kuna jambo la kufanya,
  1=kuamua hatutaki azma yao
  2=kutekeleza kauli yetu
  3=kutokukubali kurubuniwa,hapa ndipo penye utata,tunawategemea wao,kuna sualala bajeti, viongozi wetu ni ndumilakuwili na wanafanya wasiyoyasema, watakataa midomoni na watatekeleza mlango wa nyuma
   
Loading...