Hivi ubunge ni uanasiasa au biashara haramu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ubunge ni uanasiasa au biashara haramu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Decapitator, Dec 7, 2011.

 1. Decapitator

  Decapitator JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kinacho ni shangaza ni kwamba wabunge kila siku wanalilia posho, je wako bungeni ili kujenga ma ekalu? kuendesha magari ya thamani au kuwakilisha wananchi wao?
  Kwa nn wasiwe na mishara ya kawaida kama wafanyakazi wengine wa serekali?
   
 2. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,465
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  "ubunge ni mzigo wa wananchi walioubeba kwa hiari yao na kwa kuwa hiyari ilishinda utumwa wanataufikisha tu"
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  ni biashara kama kuuza bangi...
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  ni ZAIDI ya kuuza bange
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,842
  Likes Received: 5,097
  Trophy Points: 280
  Ni biashara nzuri sana.

  Ni bora hata wanao uza viungo vya binadam(albino).Kuliko kazi hii ya ubunge.
   
Loading...