Hvi kuna kadi ya mwaliko tarehe 9/12/2011

JUKUMU

Member
Apr 5, 2009
76
31
Yaani nimekaa nikaangalia pande zote za hii Tanzania, ila bado sijaelewa hiyo kesho hiyo sherehe itakuwa vipi, maana ni kubwa eti, waisije wakaleta mambo ya hotuba tu, sherehe ni watu na watu ni msosi. Haya mabo yakusema oh! wizara kwa wizara ndio wanapeana shavu yanatosha....naomba tu kujua kama kuna mwaliko rasmi, na pia kama utaratibu wowote wa kusherekea ukitupilia mbali mahotuba yao ya miaka nenda rudi...maana wengine hatuna hata uhusiano na hizo wizara zinazojifanya nazo zasherekea miaka hamsini wakati hata miaka 30 hazina na utendaji mbovu wa kazi.
 
We unasubiri mwaliko wakati wenzako kilasiku wanasaini perdiem, mwezi wa 4 huu.
 
We bwana we vipi banaa! Kesho kuna Al-shaabab, au hukusikia maonyo ya serikali watu walipotaka kuandamana?
 
jamani mkisikia kwenye pilau mniambie........miaka 50 bila pilau na vipsi....haita faa......
 
Back
Top Bottom