Babu zetu walikataa sisi tunachekelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu zetu walikataa sisi tunachekelea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by semako, Dec 8, 2011.

 1. s

  semako Senior Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwekezaji huyu Saza chunya ni kero,toka amefika hapa anapakia mchanga wa dhahabu na kuondoka nao,sasa yale mashimo tutafukia na nini mara madini yatakapoisha?wewe unaejiita diwani wananchi wako wananufaika vipi na mgodi huu uliopo kwenye kata yako.Diwani chukua hatua usiwe zoba
   
Loading...