Madaktari Tanzania mnasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari Tanzania mnasemaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by measkron, Dec 6, 2011.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Madaktari nchini Kenya wameanzisha mgomo ikiwa leo ni siku ya pili wakidai nyongeza ya mishahara na maboresho ya mazingira ya kazi ikiwema vitendea kazi in government hospitals. Hawatarudi kazini until yamemizwa hayo. Source TBC, Citizen and KBC News!
  My take: Madaktari wa Tanzania nyie mnasemaje? Au mambo yenu shwari?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  waseme nini wakati wote wana kadi za kijani na wameridhika na vitrip vya india?
   
 3. m

  massai JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dili zote za kuuza madawa yanayotoka msd ni yao,kuomba kitu kidogo ili utibiwe ni yao,umeona wapi huduma ya bure kumuona dr bongo hii???hawawezi andamana hao mambo yao supa na kadi zakijani wanazo ambayo ni kitambulisho tosha :chukua chako mapema; wizi wa vifaa na kusain asubuhi na kwenda kupiga job kwenye private wakisubiri mwisho wa mwezi.hawawezi goma hao.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  bongo hawahitaji madaktari bwana,tiba mbadala zipo nyingi kama vile kikombe cha babu,kakobe,lusekelo,mchungaji malisa,manyaunyau,wachina na kwa wanene wa serikalini wanakwea pipa kwenda india.kazi za madaktari zimepungua!!!
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tutake radhi kk
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kaka kama wabunge wanasinzia bungeni na posho yao inapanda utafikiri imewekewa amira kwa mtu anayesumbua akili siku nzima halafu analipwa kidogo kwanini asile kwa urrfu wa kamba yake?
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  Dr. chichi radhi ya nini na nyie mmefunga midomo na plasta badala ya kufunga vidonda.
   
 8. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Je, mmeridhika na mazingira yenu ya kazi?
   
Loading...