George Bush kuja Tanzania hajakosea, sababu hii hapa

Afadhari wewe umeliona hili, maana wapo baadhi tunashabikia miaka hamsini ya uhuru kwa mbwembwe eti tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele! Kama hali ya kukua kwa maendeleo na matumizi mabovu ya rasilimali zetu vitandelea kuwa kama ilivyo sasa Tanzania itakuwa ni nchi isiyofaa kuishi binadamu mwaka 2100 pale ambapo population itakuwa imefikia mil 300. Kupredict hali hii ni very simple na ahitaji kuwa na phd, angalieni hali ya upatikanaji wa huduma muhimu kwa binadamu kama vile maji, afya, elimu, chakula na miundombinu. Tafuta proportionality ya kuongezeka kwa hizi huduma muhimu na idadi ya watu tangia uhuru mpaka sasa, utapata jibu. Kwa wale walioko Dar es Salaam 0.5km ukivuka feri ukaingia Kigamboni hamna maji ya bomba! Negative social economical development cannot carter the problems of positive population increase by any means!
 
Viongozi waroho,wasio na vision na wenye akili za kuku wameng'ang'ana na kuchimba kila kitu kilichopo ardhini bila kuwa na mipango thabiti ya matumizi yake kwa maendeleo ya nchi,wao wakiahidiwa 10% na nafasi za ajira kwa watoto wao basi.
 
Jamani kila mtu anajua fika viongozi wetu ni bure....sasa cc wenyewe (mimi na wewe) tufanyeje ili tuweze kukomboa nchi yetu.... Kuna msemo "DON'T ASK WHAT UR GOV'T HAS DONE FOR YOU, RATHER WHAT YOU HAVE DONE OR CAN DO FOR UR COUNTRY"....

Lets be creative and not always look for excuses to justify our being backward and underdeveloped. Kwa mfano, % kubwa hapa tuna familia right...majumbani kwetu tunawelimishaje watoto wetu kuhusu maisha ya badae na elimu wanayoipata itawasaidiaje? Kuna creativity yoyote hapo nyumbani...mtoto wako anaweza hata kufyeka majani au kupanda mti, kubadilisha bulb, n.k..basic sustainable features and practices..watoto tuwafundishe kujitegemea wajameni....na sio kila kitu tumtegemee mwalimu kumfundisha mtoto..lasivyo wataendelea kukariri vilivyo andikwa kwenye text books kwajili ya mitihani tuu..
Wengi wetu hapa tukifuga kazi stop ya kwanza Bar...nyumbani saa nne au tano.... Anyway i think I have made my point!
Jioni njema...
 
Kwani hizo kampeni za psi hazitoshi? Nathani zinatosha cha msini tuwathibiti hawa mafisadi wanaogawa rasilmali zetu
 
Bush ameleta yafuatayo:
a) Ukimwi in the name of net
b) silaha za vita (kenya vs alshabab) wote wamepewa kila kikundi kwa wakati wake
c) kuangalia biashara zake za madini na uranium..

NWO at work
 
Back
Top Bottom