Mwanamme jike akamatwa Zanzibar akija Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamme jike akamatwa Zanzibar akija Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 5, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  Jeshi la polisi Zanzibar limemkamata ALLY OMAR HAMAD miaka(27) akiwa amevaa baibui katika bandari ya zanzibar akiwa anakuja dar.
  Walimshitukia baada ya kuonyesha tiketi yenye jina la mwanaume wakati yeye kavaa Nguo za kike. Baada ya kumhoji kwa mda akaanza kuongea sauti ya kukwaruza ambapo ilibidi wamuweke chini ya ulinzi. Kwenye matiti aliweka machungwa na kujipaka wanja.
  ACP. Mohamed Mshiri kasema walipo mfikisha kituoni kuna polisi aliye mtambua kwamba walisoma wote sec. ya kidongo chekundu zanz. mia
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anawapelekea wenyewe chakula yao. Dar si kuna wapenda masaaaabuuuuuri?.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Walimkamata kwa kosa gani?, kuvaa baibui?!, kupaka wanja?!, hizo sheria tunazo?!, hao polisi waangalie wasiumbuke kama walivyoumbuka kwa mharifu Jerry Muro.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  duh...kama ni hivyo mbona kila sehemu zbr wamejaa na hawawakamati
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  BONGOLALA
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Yarab toba. Tia kiberiti huyo.
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  wamesema kakamatwa kwa uchunguzi sababu inawezekana ni mhalifu alikuwa anajificha asikamatwe. so wanamshikilia kwa upelelezi zaidi wanataka wajue kwanini kafanya hivyo. Mia
   
 8. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wewe mwana magamba, naona heshima inashuka sasa!
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Acha kudandia treni kwa mbele. Go back to the main topic
   
 10. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,095
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Mbona zanzibar wanao mkataba wa KIKAMERUNI LONG TIME!!!!!!! wanazuga tu!!
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  hawajasema kama ni shoga. Walichosema ni kwamba inawezeka ni muhalifu aliyekuwa anatoroka kwa kujificha asijulikane. Mia
   
 12. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ngese la kizanzibar
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,427
  Likes Received: 3,789
  Trophy Points: 280
  Usikariri kama treni inarudi nyuma lazima udandie kwa mbele
   
 14. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Bara na visiwani tumeungana kwa mengi. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama ni kuvaa lile libuibui si yapigwe marufuku?mtu anaficha uso utadhani kobe!
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Nchi za ulaya walipopiga marufuku uvaaji wa hijab(hasa isiyoonesha sura) baadhi ya makundi ya imani fulani walilaani ati imani yao inabughudhiwa, nadhani zanzibar watapata fundisho. Hata kwenye kile chuo pekee kinachomilikiwa na dini inayaopendelea (wamama) kuvaa mavazi yanayositiri maungo yao, chuo walichopewa na rais wa awamu ya tatu pale Morogoro lecturer mmoja wa communication skils aliyekuwa akifundisha kwa mikataba mifupimifupi alikatisha mkataba wake baada ya kumtaka mwanafunzi aliyekuwa amefunika uso wake aoneshe sura yake, mwanafunzi alipeleka malalamiko kwa baraza la wazee wa dini yake(ndo wenye mamlaka) nao wakamwita huyo muhadhiri na kumhoji kwa nini ahoji uvaaji unaostahili na ulioamriwa katika vitabu vitakatifu- muhadhiri alikatisha mkataba siku hiyihiyo.
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  most of the comments haziendani na mada,ni chuki tu za imani flani.mada inasema amekamatwa mwanaume mmoja alievaa kama mwanamke akijaribu kuvuka aje bara.polisi wanachunguza hilo ndo mana wamemdaka...anakuja kondoo mmoja apa anashambulia imani ya watu wengine,,,sio fair.
   
 18. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kumbe weeeeeeeeeeee
  mko sawa
   
 19. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ngese ni nini hicho. Tuweke wazi manake umetuminyia mno.
   
Loading...