Huu ni muda wa mh rais kutangaza hatutaki nchi wanaokubali usenge kuwekeza tanzania

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Nimesikitistishwa sana na matamko yanayotolewa katika kipindi hiki ambapo hali ya uchumi nchini kwetu ni mbaya. Ni afadhali kuwaambia wajue kabisa kwamba kama wao wanatuforce msaada kwa ushoga na sisi rasilimali zetu mashoga wasiziibe Mh rais naomba toa tamko kuwaonyesha kwamba hata Tanzania ni nchi amabayo inaweza kujitegemea na kama utashindwa tumia nafasi yako katika AU ili africa itoe neno, nina imani Gaddafi angekuwepo angesema kitu.

Hakika huu ushetani ukivumiliwa wanetu na wana wanetu wataharibika, stand up Tanzania. Waislam wenzangu vipi katika hili??
 
tanganyika,tanganyikaa nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeeeee.
mola turudishie nchi yetu iliyokuwa na baraka zako,tuepushe na laana ya kubeba jina si letu limeshatuadhibu vya kutosha sasa tunahitaji msamaha wako.
 
Back
Top Bottom