Chadema mjiandae..........

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Wakati CCM na serikali yake wamejikita ktk mbio za urais 2015, kwa nahodha asiyejua bandari aendayo, hakuna upepo ulio muafaka kwake. na hii ndio hali tuliyonayo watanzania chini ya CCM. hawa watu wamedhihirisha udogo wa uwezo wao wa kututawala, achilia mbali kutuongoza. mchezo wao ndio mauti yetu, HUKO KONGO KABILA MAJI YA SHINGO. CDM mjipange vizuri msifanye kosa nafasi ni hii.
 
Back
Top Bottom