Wanaofaa picha zao kuwekwa kwenye noti hawa hapa.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Akili imchoshwa na mambo ya siasa. Najaribu kufikiria uzuri wa noti utakavyokuwa kama zitawekwa sura za watu hawa. BI KIDUDE, ANNA MAKINDA, ANNA TIBAIJUKA na mwana wa mkulima MIZENGO, nahisi noti zitakuwa kivutio tosha. Mtazamo tu manake naona ushatoa jicho.
 
Umeongea point sana..
Utakuwa nasaba ya kina Nyerere wewe!
Afu noti ya buku 10 amalize mkuu S. Wassira, zitapanda thamani aje?
 
Kwanini asiwekwe Masoud yule bingwa wa sura mbaya? Ikizidi badi weka bundi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom