Hivi sasa anahaha kisiasa kwa kutafuta huruma kutoka wananchi akidhani nccr ni mafala. Nccr wanadai kafulila kalikoroga na atalinywa kwelikweli, huenda kilchomfanya tumfukuze chadema kikamkuta nccr. Tulipokuwa tunamshughulikia ndani ya cdm jamii ilituona tunamuonea na alipotimkia nccr waliona wamepata shujaa kumbe wamepata tapeli wa kisiasa yaani mtu wa kuchochea migogoro na kibaraka wa ccm. Mimi ninawaambia kafulila ni ccm na tapeli wa kisiasa ndiyo maana majuzi mwanaharakati mmoja hapa JF katueleza jinsi alivyomsifia KIKWETE huko kigoma kuwa ndiye RAIS bora,je,hivi JK ni rais bora hadi asifiwe na mtu anayejiita ni mpinzani? Kweli kafulila ni mamluki wa ccm, kama mbatia ni ccm kwa sababu ya hotuba za kusifia serikali basi na kafulila ni ccm. Tunataka kafulila utueleze kwa nini tusikuite CCM "A" kwa kosa la kutusaliti watanzania kwa kumsifia KIKWETE kuwa ni Rais bora huku unajua watanzania hatumkubali JK? Toa hoja iwapo wewe siyo ccm, Vile vile Tundu Lisu ktk hotuba yake alidai kuwa kafulila alikuwa miongoni mwa VIBARAKA WA SPIKA aliowatuma kwenda kwenye kamati ya bunge ya katiba na sheria Kuhakikisha mswada wa kijinga wa mabadiliko ya katiba unapita, alikuwa kafulila,shibuda,hamadi Rashidi wa CUF nk. Atueleze ilikuwaje akubali kutusaliti na kuwa na mawazo ya ccm? Taarifa zimeeleza kuwa hata kutoka kwake nje na CHADEMA ilikuwa ni kutaka kujiepusha na kashfa ya UKIBARAKA wa ccm ktk mchakato huo wa katiba mpya, na Ndiyo maana Mh. MACHALI aliamua kubaki ndani ili atoe tamko la kutounga mswada wa kijinga wa mabadiliko ya katiba mpya na ndiyo maana baada ya KUICHAPA SERIKALI YA CCM KTK KUCHANGIA MSWADA HUO ALITOKA NJE, msimamo wa m,achali ulikuwa busara kuliko wa kibaraka wa ccm KAFULILA wa kujifanya anatoka na chadema huku akijua kuwa tayari chadema walikuwa wameshatoa tamko lao na hivyo ilikuwa ni zamu ya nccr kutoa msimamo wao kama machali alivyofanya na Mh. zaituni buyogera . Hakika MACHALI NA bUYOGERA WALIONESHA UKOMAVU WA KISIASA kwa kutoa msimamo wa chama chao na kisha kutoka nje kama Chadema walivyofanya baada ya LIsu kutoa msimamo wao chadema mzuri na kisha kutoka nje. Ilikuwa ni ujinga kwa kafulila kutoka nje chini ya msimamo wa chama kingine, aige kwa Machali na Buyogera walioamua kubaki na kutoa msimamo wa CHAMA CHAO nccr. Japokuwa mimi nikipenda chadema lakini katika hili naungana na Machali kwa kuamua kubaki bungeni na kutoa msimamo wa chama chake, Kafulila hakukitendea haki chama chake, hata hivyo inaonesha nccr kuna demokrasia ya kweli kwa sababu hatusikia kuwa wamemchukulia hatua za kinidhamu Kafulila na MKOSAMALI kwa kuamua kutoka nje chini ya mwamvuli wa cdm, ingekuwa ni vyama vingine kama huku kwetu CDM angehojiwa kwa nini ametoka nje kwa mwamvuli wa chama kingine. HONGERA nccr kwa kuwa na Demokrasia ya kweli, mnatoa uhuru wa kweli kwa viongozi wenu, nitawashauri hata makamanda wetu wa CDM kuiga hilo japo kuna mahali tunatofautiana kisiasa.
Mkiweza kumshughurikaia Kafulila kwa kumchukulia hatua za utovu wa nidhamu mshughurikieni, huyo ni kirusi kibaya sana. Chadema hatukuwa wajinga kumshughurikia, tena asijifanye kutueleza kuwa anamtetea HALIMA mdee katika kesi iliyofunguyliwa na mbatia, japo inasikitisha kwa mbatia kumshtaki mdee. Lakini ieleweke kuwa nccr ni chama kingine kabisa, hivyo hakiwezi kuingiliwa uhuru wake na chama au mtu mwingine. KWELI MDEE tunampenda sana kwa upambanaji but haipaswi kumuacha anapovunja sheria, ni haki ya kila mtu kuamua amshtaki mwenzake au aache.Hata hivyo taarifa zinaeleza kutoka ndania ya nccr kuwa KAFULILA ni miongoni mwa viongozi wa nccr walioshauri Mbatia afungue kesi hiyo na kumtisha mbatia kuwa asipofungua kesi hiyo dhidi ya mdee basi atakuwa ni CCM "b" kwelikweli Kama alivyotuhumiwa na Mdee. Kwa hiyo Mabtia kafungua kesi dhidi ya mdee baada ya kushauriwa na Kafulila, Hivyo mchawi mwingine wa mdee ni Kafulila katika kesi inayomkabili. Huyu sisimizi hafai, nccr fukuzeni huyo mtu, anajifanya kuwa naipenda chadema wakati ni yeye kafulila laiyewahi pia kusema kuwa CDM ni chama cha wajasiliamali wa kisiasa manzese na hata ndani ya bunge amekuwa akijifanya kutaka kupata nafasi sawa na kamanda mbowe huku akijua kuwa mbowe ni kiongozi mkuu wa upinzani bungeni na hivyo ana haki kama waziri mkuu hivi, CDM tukumbuke kuwa kafulila aliwahi kuumbuliwa na JENISTA MUHAGAMA kwa kuandika ki memo kuwa kiti cha spika kinampendlea mbowe kwa kumpa nafasi ya kuchangia bungeni. Wapi na wapi kafulila akaipend CDM, lakini pia alishawahi kudai kuwa mbowe anamuwinda, wapi na lini kafulila akamjali mdee na CDM. Jamaa kinyonga kwelio, hafai kusikilizwa ni mzushi tu, Nasisitiza kuwa Mh. MACHALI AENDELEE KUSHUGHULIKA KAFULILA KWA KUMKOSEA ADABU mBATIA, HATA KAMA MBATIA ANA MAKOSA , SIYO SAHIHI KUMUONDOA MADARAKANI KWA STYLE HIYO YA sisimizi Kafulila. Atujibu maswali yote kuhusu u CCM WAKE kafulila, anamsifia KIKWETE kuwa rais bora huku akijua kuwa wanaharakati hatumkubali kabisa . Jamaa jinga kwelikweli