Computer hii inatatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer hii inatatizo gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bornvilla, Dec 6, 2011.

 1. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kila ninachoweka haisomi mfano cd,dvd,usb na hata flash.Jamani ni laptop ya dell tatizo itakuwa nini? Naomba msaada.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  inawezekana ni operating system,jaribu ku=repair window
   
 3. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Angalizo kwanza: Unapotaka msaada toa maelezo ya kutosha ili usaidiwe kikamilifu! Jibu sahihi ni kuwa problem yako ni drivers related problem. Kuna baadhi ya computer kama haujachomeka umeme, usb hazifanyi kazi vizuri. Chomeka umeme. Vile vile virus wanaweza kusababisha hilo tatizo. Kama siyo hayo, solution nyingine ni ku'uninstall all usb drivers alafu urestart komputa utalitatua. Ufundi mwema.
   
Loading...