Jengo jipya la PSPF kuitwa JM Kikwete...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo jipya la PSPF kuitwa JM Kikwete...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Dec 6, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nimesikia hili jengo jipya karibu na PPF TOWER linalomilikiwa na PSPF litaitwa J Kikwete pension Tower.....aisee imeniuma sana sidhani kama Kikwete ana deserve hilo....bora lingeitwa Zamoyoni Mogela Pension Tower
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu Yo Yo wivu ni kidondo halafu huyu mkuu wa kaya ana wivu balaa na vijitabia vya uswahilini..:shock:
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kikwete is a failure period....hakuna kitu kizuri ambacho watanzania watataka wamkumbuke....kulipa jina hili jengo itaendelea kutonesha kidonda cha maisha magumu kwa watanzania.....
   
 4. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,846
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Waache Wajifariji ila anytime Muda Utakapofika Itabidi Kurename Vitu Vyote!!
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wacha wampe huwezijua labda kuna shinikizo la kufanya hvyo.
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono mpango huu wa PSPF. It is a befitting gesture!
   
 7. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nimefuta mpango wa kupangisha ofisi jengo hilo.
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tena nadhani leo ndio wanalifungua, ngoja tuone
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hao PSPF watakuwa ni wajinga sana, nilo ndio jengo lao la kujitangaza hapo mjini,sasa wanaanza kuita majibna ya wanasisia
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hii ni kweli linaitwa Jakaya Mrisho Kikwete Pension tower
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna vitu vingine vinaudhi vibaya vibaya!!
   
 12. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Labda aliwafadhili ndiyo wanalipa fadhila
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Fuatilieni vizuri hilo jina....Uzinduzi wa hilo jengo la PSPF unafanyika leo na Mh. JK. Hili jengo limepewa jina liningine tofauti kabisa but halina chembe ya PSPF
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ndio mkuu nimeona leo....limepewa GOLDEN JUBILEE TOWER....nimefarijika kwa kweli....
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yeah..wamefanya vizuri. Tatizo ni kutokuwepo kwa jina la PSPF. Huu mfuko unafanya vizuri sana but hautambuliki. Wanatakiwa nao waanze kujitangaza kama ilivyo NSSF, PPF na LAPF
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Yah man......haijulikani hata mjini ni wachache wanaojua LAPF.....na ile benki ya wanyonge EQUITY nimeona wamerent pale...
   
 17. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili jina la Kisiasa sana hili.........na halina mashiko, halijielezi.
  yale yale ya tumejaribu.........unajaribu miaka 50? umekuwa pimbi wewe?!
  Mnake Pimbi na anajaribu kutongoza tu kila siku....hajawahi kufanikiwa......yeye ajaribu tu kila uchwao.
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna na Stanbic na CRDB...na wizara ya Habari wamechukua kama floor tatu hivi. Labda wawe wanaitumia hii wizara kujitangaza.
  LAPF angalau wana Millenium Tower
   
Loading...