9 December 1961 ulikuwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

9 December 1961 ulikuwa wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uda, Dec 2, 2011.

 1. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kalenda inaonyesha ilikuwa ni siku ya jumamosi.kwa wale wa enzi hizo mnaweza kutueleza mlikuwa wapi siku hiyo?naomba uzoefu wenu.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  50% kwa msichana mmoja ambaye after some decades atakuwa mama Kaunga na 50% kwa mkaka mmoja ambaye hata hamjui yule msichana ambaye angekuwa mama Kay
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mimi nilikuwa nachunga mbuzi wa babu kijijini kwetu Msoga, jirani kabisa na kwao JK
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Nilikuwepo, kitu nnachokumbuka ni mafashfash na nnakumbuka bendera zilizopambwa barabarani hususan nje ya nyumba yetu, kumbuka nyumbani kwetu ni jirani kabisa na ilipozaliwa TANU na nnakumbuka ngoma iliyopigwa nje ya nyumba yetu usiku kucha nadhani lilikuwa ni gombe sugu, nilikuwa ni mdogo sana kiasi cha kuwa na "vague" memories. Nakumbuka bibi yangu alitupa wote (wajukuu) senti tano tano kama sadaka kwa furaha yake (senti tano siku hizo ilikuwa na tundu kati).

  Nikikumbuka mengine ntarudi.
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  ngoja nimsubiri faizafoxy.
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Wachache waliopo hapa waliishudia siku hiyo "in real time"
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nlikuwa kwenye kaptula ya mshua nikitamani tuendelee kutawaliwa na wakoloni mpaka pale tutakapopata akili ya kujitawala ambacho ni kitu adim mpaka leo hatujaweza kujitawala
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Waliokuwepo tunawasubiria!
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mimi nakumbulka siku hiyo nilikuwa na kidate changu kwenye ile guest ya karibu na home..... mambo yalikuwa safi sana
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  faiza foxy kumbe mkubwa lakini sometimes busara zero,unaandikaga kama binti wa miaka 17..halafu nimegundua kwa nini unaipenda TANU/CCM,..ulizaliwa jirani na makao makuu ya chama...lazima maji ya bendera yalikudondokea mdomoni ulipokuwa unacheza utotoni.
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  mi nilikuwa nacheck live kupitia TBC1!! Source ni mimi mwenyewe...
   
 12. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Siku hiyo prince philip alikuja,tuliimba sana.
   
 13. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe yaelekea ni mkuu wa chuo cha kata!kama hukuwepo tulia tupate historia kutoka kwa vijana wa enzi hizo.
   
 14. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  unamaanisha udom, hapana! Ngojea tuwasubiri "wazee wangu..." halafu baadae wataanza kukosoana! Kila mmoja ataanza kutupa sound zake...
   
 15. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Nilitimiza Miaka elfu mbili na mia tisa hamsini
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Roho haizeeki.
   
 17. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndio siku yangu ya kuzaliwa, tarehe 8 dec 1961 majira ya saa 3 usiku hivi, nilianza kumsumbua mama mpaka ikapelekea apelekwe kwa bibi temeke (siku hizi mnapaita shamba la bibi) ili uchungu ukizidi apate msaada (kumbuka ndio ilikuwa mimba yake ya kwanza) na ilipofika saa 6 usiku tarehe 9 dec 1961 nikatoka rasmi (nikazaliwa), nakumbuka nyerere (babu) ndo alikuwa wa kwanza kunibeba, wakafatia wengine wakiwa na furaha. kwa kweli siku hiyo ilikuwa ni furaha kwa kila ndugu na jamaa!
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  I bet babu ODM alikuwa mahali anapata kitochi ya kangara..! ngoja aje hapa atwambie..
   
 19. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa pembeni ya nyerere
   
 20. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka baba yangu akinivusha katikati ya uwanja wa taifa na baada ya muda mfupi zikaanza fataki. Kulikuwa na kelele nyingi lakini sina kumbukumbu ya kilichozungumzwa. Baada ya hapo nilipoteza network na kuamka asubuhu nyumbani.
  Nilikuwa darasa la kwanza shule ya msingi Changombe.
   
Loading...