Ni vema kutenga Muda wa Kumshukuru Mungu - kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vema kutenga Muda wa Kumshukuru Mungu - kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rubi, Dec 5, 2011.

 1. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wapendwa leo ni jumatatu ni wiki toka nitoke kumzika mama yetu mdogo( Marehemu Naomi Charles Ntinginya au Mrs Naomi Kiula) aliyekutwa na mauti katika ajali mbaya ya ubungo hapo tarehe 23 Novemba, 2011.

  Kwanza niliona "news alert" hapa jf, pili nikaona news Itv na yule askari aliyebeba kichwa bila kujua ndani ya ile kanga ni kichwa cha mpendwa wetu. Ingawa ajali hii ilinifanya niwe na hisia za kufatilia zaidi kwa kuwa maeneo hayo nilijua kuna ndugu zangu. bahati mbaya sikufuatilia kwa wakati nikijua ni salama mpaka siku ya pili nilipopata simu kuwa mpendwa wetu ni yule mama aliyekutwa na umauti kwenye ajali mbaya ya ubungo.

  Sina ya kusema mengi kwa walioshuhudia ile ajali na kwa walioona kwenye vyombo mbalimbali vya TV. kama mimi. huzuni na mshtuko nioupata baada ya taarifa hizi za kuhuzunisha. Sijui moyo wangu utaisha kulia lini maana bado nahisi machozi kunibubujika ndani ya moyo wangu.

  Wapendwa tukumbuke kusali na kutenga muda wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo ikiwa hatujui siku, wala saa, wala njia tutakayopita maana wote hapa duniani ni wapitaji lakini tunatofautiana njia.

  Mungu ampumzishe kwa amani Mama yetu.
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli umenena ndugu maana hatujui siku wala saa.
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pole sana Rubi
   
 4. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Haswaa[​IMG] Shukurani ni muhimu sana, tena sana na ndiyo maana imeandikwa shukuruni kwa kila jambo.
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Pole sana ndugu, Mungu awajalie uvumilivu na amani!!
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana Rubi. Mungu awape nguvu na hekima ya kushinda katika kipindi hiki...
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Asante
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Asante RR.
   
 9. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Asante Nsuri.
   
 10. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Poleni sana.
  Asante Mungu kwa rehema zako
   
 11. D

  Dopas JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pole, mama a RIP.
  Vifo vya ghafula daima vinanikumbusha wimbo uimbwao na redio za Redio tumaini, na redio Maria kuwa maisha ni safari, na mwisho wa safari ni popote pale.... Tuombe daima neema ya Mungu ili tuwe tayari kwa hiyo safari, ambayo ni yetu sote. Hakuna wa kukwepa.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Poleni sana ndugu zangu
   
 13. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hakika naungana nawe ktk wakati huu mgumu, Mungu akutie nguvu. Tumkumbuke sana Mungu kila wakati na pia pale tunapoanza kupotea tukumbushane tujisahihishe mapema.
   
 14. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ndugu uyasemayo na hizi nyakati mbaya ni bora kukumbushana.

  Maisha ni kama waridi lichanualo baada ya siku kunyauka. Ni kama mshumaa wenye manukato na umepambwa kwa rangi mbalimbali uuwashapo huufurahia bahati mbaya upepo ukipuliza huzimika ghafula, na usipozimwa na upepo huwaka huyeyuka na kuteketea kabisa.
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,204
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kilikuwa kifo cha kusikitisha sana, mpendwa wetu ametangulia ni juu yetu kujiandaa maana hatujui ni nani atakayefuata na ataondoka kwa staili gani, R.I.P Mrs Kiula (kama jina la kwetu vile). Pole Rubi na wengine wote mlioguswa na msiba ule
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ni muhimu sana
  poleni kwa msiba
   
 17. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana mwisho wake mchungu..poleni kwa msiba
   
 18. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleniii sanaa.
   
 19. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  poleni sana na msiba
   
 20. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Poleni ndugu na jamaa wote 4 ths sad moments u r having..,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
   
Loading...