engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
hawa ndio wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele!
hawa ndio wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele!
wamethubutu, wameshindwa, wanabakia madarakani kwa nguvu za kifisadi
Huyu mbunge wa moro naye kjiazi tu, hajawahi kuchangia hata neno moja/hata kwa maandishi bungeni, Division 0 ya Forest Hill, kwenye kampeni hata ile 'Kidumu chama cha mapinduzi' alikuwa anasoma kwenye karatasi
Aisee,ukiingia unaweza ukapona kabla ya kung'oa jino.Isuline itakufanya upate mshtuko hapohapo maumivu yanaishatukiongea tunaambiwa tulinde amani ya nchiii...!!
acha waseme wenyewe,
tukisema tunaonekana tuna majungu.
Mweh!
Afu unategemea dr anaefanyia kazi hapo aache kusimamia grocery yake akae hapo! Hata hygiene na sterility hapo inatoka wapi!