Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MDAU AADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA KWA KUUZA BIDHAA ZA KITANZANIA KWENYE MAGULIO YA ULAYA Wengine wakiwa wanaadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania kwa sherehe, siasa nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Nimesikia kisa kimoja huko Arusha cha ajabu sana ambapo mtoto wa miaka 14 (form 2) kapewa mimba na mzungu mwenye miaka 48. Huyu binti alikuwa hajui...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Wana jf mnao ishi sinza au pita sinza njia ya sinza makaburini ambayo inakatisha na kwenda kutokea njia iendayo ubungo. Kuna kibaka mmoja anawaliza sana mchana kweupe na siyo siri anameki sana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya bus Allys kuharibika na abiria kutelekezwa. OCD aliingilia kati kuwatafuta wahusika waliotokomea na kuacha abiria solemba, na kuamuru kampuni hiyo itoe bus jingine na kuendelea na safari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari waungwana? kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya jambo hili wakuu, em naombeni kujuzwa tafadhali, hivi mwanamke yu aweza kuwa kwenye bahati ya kubeba ujauzito baada ya siku ngapi kupita tokea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania tunakuwa wakali sana tuna maindi vitu vikubwa je vidogo?Mh si tumemchagua wenyewe au inakuwaje vyama vyote tunamtambua kuwa ndiye mkuu wa kaya!hv hm baba akikosea huwa mtoto...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii nimeiona Facebook Wall ya Mzee John Kitime na nikaona si vibaya kuileta hapa tuijadili maana ina ukweli mkubwa sana ndani na mafundisho kwa jamii yetu. John Kitime Dah hii kali, jamaa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
ndugu wadau wa JF, nimejiuliza swali hili kutokana na taarifa nilizowahi kuzisikia zamani na taarifa ambazo ni za hivi karibuni. mwaka 2007 nadhani, kuna yule mzee wa Austria ambaye alihukumiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma, Frasser Kashai Polisi sita mbaroni kwa kumuua mtuhumiwa Wadaiwa kumpiga, kumng'oa rasta zake Askari sita wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kasulu mkoani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesikia tangazo radio clouds fm then wakasemea tangazo hili limeletwa kwenu kwa hisani ya CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA BARA(TLS). Je ni kwamba CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA/TANGANYIKA LAW...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ameda atafuatilia taratibu walizofuata wabunge kujiongezea posho source TBC
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwani hapo udsm bado mnaandamana? washikaji wanakuja huko na mabomu ya machozi. over
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa takribani mwezi na ushee sasa katuni zinazochorwa kwenye gazeti la Mwananchi na cartoonist maarufu nchini Masoud Ally 'Kipanya' ziko gizani kuungana na sisi wananchi kuomboleza mgao wa umeme...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Tupo ktk mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania, Arusha. Umeme umekatika, waziri mkuchika amesimama dakika 10 jukwaani akisubiri umeme. Wamewasha generata sasa anaendelea. Amesema "umeme...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nilitoa kero zangu dhidi ya TBC1 na leo wanaotazama taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku mmejionea wenyewe. Taarifa inasomwa badala ya kuletewa picha inayohusiana na tukio, linakuja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanawake wawili wakaz wa wilaya ya Tarime wamekamatwa na kufikishwa mahakaman kwa kosa la kulima na kumiliki EKARI 4 za zao haramu la bangi,wanawake hao ni Maria Magaigwa(45) na Maximillian...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Babu wa Loliondo kisa cha kupungua watu kliniki Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 13th December 2011 @ 14:10 Imesomwa na watu: 301; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nafikiria kwenda moja ya sehemu hizi Qurus, Gunyoda, Yaeda Chini, Kambi ya Nyoka, Geku Mlambo, Tlawi, Gehandu,Daudi, Sumae, Njia Panda, Oldeani, Bashay, Mama Isara, Endagikot, Preta, Binti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Top 10 Richest Countries in the World per Capita! Ever wondered what the Top 10 Richest Countries are? Well, here you have come to the right place! Top 10 Richest Countries in the World per Capita...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mh,Waziri mkuu kwa hili umenikatisha tamaa na leo sitaenda kazini baada ya wewe jana kusema Maendeleo ya viwanda yatakuja baada ya miaka 50!!!!!!?????? Kwa maana serikali yako hivyo ndivyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…