Ludovic Utoh adai ofisi yake haijapokea nyaraka za ongezeko la posho kwa wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ludovic Utoh adai ofisi yake haijapokea nyaraka za ongezeko la posho kwa wabunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Dec 13, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ameda atafuatilia taratibu walizofuata wabunge kujiongezea posho
  source TBC
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Utoh haaminiki tena. Hana maana katika jamii ya waadilifu. Atawasafisha kama alivyozoea kuwasafisha mafisadi kina Jairo. Hopeless guy. Tulimheshimu sana kumbe ametuibia sana
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ilivyo Tz hii sidhani kama kuna office utaenda ukute ni wasafi kwani allmost hawa wameteuliwa na serikali ya magamba na mtu huwezi kumsaliti mwajiri wako. Kubadili katiba kuna umuhimu mkubwa sana kwani rais anapewa mamlaka makubwa sana ambayo anayatumia kulipa fadhila kwa waliompigia kampeni, amekuwa akiwateuwa watu hata kama sio waadilifu mfano Lowasa ambaye tangia mwanzo alijulikana na kila mtu sio mwadhilifu
   
 4. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ludovick Utouh si mfanyakazi mwadilifu na mzalendo wa Taifa lake,hata akifanya hivyo hawezi kutusisimua,bora aache tu!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Ludovick Utouh ameshapoteza Credibility ya kuamiwa na Watanzania, atafute lingine la kutokea hili la posho hatuhitaji mkaguzi wa serikali sisi wenyewe wananchi ukweli tunaufahamu.
   
 6. d

  dada jane JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hebu tumpe nafasi huenda kafunguka.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kama una kampuni yako binafsi unahitaji Auditor haujakatazwa kumpa kazi, lakini sio kwenye ofisi yetu ya umma. Tafadhali binti usitutie hasira asubuhi yote hii.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Huyo ashapoteza moral authority pengine ndo maana wameamua kutomtaarifu kuhusu ongezeko!
   
 9. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama aliweza kuisafisha UDOM iliyokuwa ina uozo wa wazi kabisa atashindwa nini kulisafisha bunge? hastahili hata kwenda kukagua hesabu ya choo pale ubungo stand!
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Matola. Hii scandal ya Posho ukiiangalia kwa udadisi zaidi utaona ni kama mtego ambao wabunge walitegwa,wakanasa,wakapitisha muswada wa serikali bungeni,baada ya kutumika serikali sasa inawakana! Na maadam kuna watendaji wengi hawakufurahishwa na jinsi Bunge lilivyoendesha kashfa ya Jairo,sasa ni wakati wa watendaji wa serikali kuwaumbua wabunge!
   
 11. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ivi wewe **** hujui kuwa hiyo ni ofisi ya umma? ofisi yako ni mke wako.
  kubwa zima maadili seti tupu.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  We don't care, Ludovick Utouh ni muhimili wa uovu. He must go!!
   
 13. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ripoti ya uizi PPF kakalia   
Loading...